msukuma fekero
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 2,423
- 3,270
Acha uongo
shaitwaani mkubwa weunaumwa wewe iblis
Code ni rahis sana itajulikana wacha nimtupie tu taulo Sheikh wangu atahukumiwa uko AkheraWeka code.. tuliokoe taifa
Duh,
Nonsense,Duh,
Kumbe daktari Mufti ana msafara na ulinzi wa polisiccm na Tiss kwa gharama za umma?
Angekuwa ni Kitima au Askofu Gwajima hapo kuna watu wangelalama humu mwezi mzima.
THE BIG SHOW Malaria 2 Tlaatlaah faizafoxy

BAKWATA ni mpango wa Nyerere wa kuwadhibiti Islamists.
Wee chawa mbona unapenda matusi? Kwani huko Lumumba kuna nani mtakatifu, mbona ndio hao wanaoteka, kulawiti na kuua raia?Nonsense,
yaani huyo fuska wa SAUT na huyo porno star wa madhabahuni wawe na msafara wenye ulinzi kweli?
acheni dharau bana![]()
kama kueleza ukweli ni matusi nadhani napaswa kuongeza bidii zaidi right?Wee chawa mbona unapenda matusi? Kwani huko Lumumba kuna nani mtakatifu, mbona ndio hao wanaoteka, kulawiti na kuua raia?

Kwenye hayo uliyotaja JK na Samuya ni zaidikama kueleza ukweli ni matusi nadhani napaswa kuongeza bidii zaidi right?
kwahiyo hao majamaa sio ma porno star na mafuska ya madhabahuni?![]()
Mtume Muhammad (SAW) aliwahi kuwa na walinzi katika baadhi ya nyakati, hasa mwanzoni alipokuwa akikabiliwa na vitisho vikubwa kutoka kwa maadui zake.
hakuna haja ya kuhamisha mjadala kindezi hivyo gentlemanKwenye hayo uliyotaja JK na Samuya ni zaidi

Wacha upotoshaji.Baada ya kushushwa kwa aya:
Asante Kwa elimu...Mtume Muhammad (SAW) aliwahi kuwa na walinzi katika baadhi ya nyakati, hasa mwanzoni alipokuwa akikabiliwa na vitisho vikubwa kutoka kwa maadui zake.
Hata hivyo, hilo halikuwa jambo la kudumu. Kuna hatua muhimu katika maisha yake:
Kabla ya kushushwa kwa aya ya ulinzi wa Mwenyezi Mungu, baadhi ya Maswahaba walikuwa wakimlinda Mtume (SAW), hususan wakati wa usiku au alipokuwa safarini.
Baada ya kushushwa kwa aya:
“Na Mwenyezi Mungu atakulinda na watu” (Qur’an, Al-Ma’idah 5:67),
Mtume (SAW) aliwaambia walinzi wake waache, akitegemea kikamilifu ulinzi wa Mwenyezi Mungu.
Kuanzia hapo, hakutumia tena walinzi binafsi, licha ya kuendelea kukabiliwa na hatari, jambo linaloonyesha kiwango chake cha tawakkul (kumtegemea Allah kikamilifu).
ConspiraciesWacha upotoshaji.
Aya zote alipewa na mabosi wake Wakatoliki.
Kwa karne nyingi, uhusiano kati ya Ukatoliki na Uislamu umekuwa wa mvutano na wakati mwingine wa ushirikiano wa ajabu. Madai ya aliyekuwa padri wa Kanisa Katoliki, Dr. Alberto Rivera, yameibua mjadala mzito kuhusu chanzo halisi cha Uislamu. Rivera alidai kuwa Vatican ilikuwa na mkono wa moja kwa moja katika kuanzisha dini ya Kiislamu, kama mpango wa kisiasa na kiroho wa muda mrefu wa Kanisa wa kupata udhibiti wa Mashariki ya Kati.
Madai ya Alberto Rivera Kuhusu Chanzo cha Uislamu
Katika mahojiano,Padre Rivera alieleza kuwa alipokuwa ndani ya Vatican, alifunuliwa kuhusu mpango wa siri wa...
- hamis77
- project uislamu wakatoliki
- Replies: 225
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko