hata wewe tu uanaweza kua na msafara wa bajaji au bodaboda ikiwa una nafasi.

Hii itakuwa imeanza awamu hii.
Wakina chizenga haha 😄Bakwata mashehe kuanzia ngazi ya wilaya hadi taifa wapo kwenye payroll ya serikali.
Ni kikundi cha kulinda maslah ya ccm,dhaidi ya waislamu siasa kali.
unaumwa wewe iblisUislam ni abrakadabra tu kama abrakadabra zingine, kijana wa kisasa unakuwaje muislam kama una akili timamu? Shituka, hiyo ni abrakadabra, acha akili yako iwe huru kuchakata ukweli wa mambo