Hahahah mie hapa sitii neno naobserve tu!
nashangaa watu yanavowatoka mapovu oh na we si unafanya kazi tuchangie menu!alaaaaaa!hata jogoo na sokwe wanawashinda jamani!ahahhahahhahhahhahah hebu wahongeni wake na wanawake zenu hukooo!Jogoo ni wahongaji wazuri sana.....akikamata mdudu mtamu hamli...anaita mtetea na kumpa.....the favourite on the menu goes to the chick!
enh we tulia tu utawaona wakunaji na wapapasaji!ahahahahahhahhahhah wapi wakunaji wa JF !mko notice board mjue lol!
Wamekimbia au wote wana element za the kicomunist!
Hata siku mojaWewe hujisikii vizuri kuhonga?
maeneo tunayoishi yanatuathiri! nina mpango wa kuhamia magogoni 2015! kwa hisani ya watu wa marekani!tulia mtoto wa kike wanapitisha profoma invoice na chequelist ,wana mida yao hawa kuanzia saa tatu usiku!ndo utawakuta humu!we subiri tu wafanye makalatee halafu wakija hapa ah uongo!
nguvu ya mamba kumayi NGUVU YAO KUMFUKO!tulia mamduchu!
nini lux bana hata revola inahuu mwenzangu !sio tu mwanaume mijicho imekutoka wakati hata lamba lamba mkeo humnunulii!kisa nini ah NITAMUHONGAJE MKE WANGU BWANA!mie siku hubby wangu akija hata na sabuni ya lux! nampaaaaa mpaka anakinai, au birthday yangu aninunulie hata pichu ya kufuma tu, nampaje sasa!! anapima oil mpaka anakinai! lol, acheni ubahili, msijifanye eti equl rights wakati mnakulaga bila kubakiza kiporo! wapi Zinduna???
kwa hiyo tuwahonge!!!in exchange of sex!!!nooooop,kwani wewe hauta enjoy!!kama uta enjoy hakuna kukuhonga!!
Hata siku moja
i believe in equal responsibilities na ayependa kuhongwa namuona kama chimp.... kuna tofauti kubwa kati ya kuhongwa na kupewa present, na hata zawadi sitoi kama mtu ana anticipate, labda ndio maana sipendwi, but i wont change my philosophy...
kuhonga mwanamke ni kumkandamiza kijinsia tu
kwa hiyo tuwahonge!!!in exchange of sex!!!nooooop,kwani wewe hauta enjoy!!kama uta enjoy hakuna kukuhonga!!
Hadanganyiki mtuu hapa hatuhongi ng'o na kula tutawala saana tu. Nyie dawa yenu sound tu, na vile siku hizi mwapenda magari tutaazima magari na kuwagonga mpaka mkome. nyie mshaona sokwe akiwa atafuna kitu? Saa zima bado kitu hakitok na mpaka demu anakimbia, mwataka tuhonge wakat sie dakika mbili tu wazee wanamwagika.
kwi kwi kwi kwiWhat if kama NINATAKA kukandamizwa kijinsia, si useme tu kuhonga ni kupunguza kidogo ulicho nacho! LOL
Is it our fault??? LOL