Kumbe Chimpazees nao mabingwa wa kuhonga?

Jogoo ni wahongaji wazuri sana.....akikamata mdudu mtamu hamli...anaita mtetea na kumpa.....the favourite on the menu goes to the chick!
nashangaa watu yanavowatoka mapovu oh na we si unafanya kazi tuchangie menu!alaaaaaa!hata jogoo na sokwe wanawashinda jamani!ahahhahahhahhahhahah hebu wahongeni wake na wanawake zenu hukooo!
 
Wamekimbia au wote wana element za the kicomunist!

tulia mtoto wa kike wanapitisha profoma invoice na chequelist ,wana mida yao hawa kuanzia saa tatu usiku!ndo utawakuta humu!we subiri tu wafanye makalatee halafu wakija hapa ah uongo!
nguvu ya mamba kumayi NGUVU YAO KUMFUKO!tulia mamduchu!
 
Wewe hujisikii vizuri kuhonga?
Hata siku moja

i believe in equal responsibilities na ayependa kuhongwa namuona kama chimp.... kuna tofauti kubwa kati ya kuhongwa na kupewa present, na hata zawadi sitoi kama mtu ana anticipate, labda ndio maana sipendwi, but i wont change my philosophy...

kuhonga mwanamke ni kumkandamiza kijinsia tu
 
wallahi mpaka umenisisimua! utamuona mwanaume mkavuuuuuuuuuuu kama kameza sponji! lakini kila sekunde anatazama ubapa wangu na nyama zangu za chini bila hiyana! hata vocha hatoi, ila kei yangu anaitaka! jamani kama mu wabahili 'mtuwacheeeeeeeeee tupumuwe' wapi chimpanzeee niwape kwa batter trade???
 
mie siku hubby wangu akija hata na sabuni ya lux! nampaaaaa mpaka anakinai, au birthday yangu aninunulie hata pichu ya kufuma tu, nampaje sasa!! anapima oil mpaka anakinai! lol, acheni ubahili, msijifanye eti equl rights wakati mnakulaga bila kubakiza kiporo! wapi Zinduna???
 
Last edited by a moderator:
tulia mtoto wa kike wanapitisha profoma invoice na chequelist ,wana mida yao hawa kuanzia saa tatu usiku!ndo utawakuta humu!we subiri tu wafanye makalatee halafu wakija hapa ah uongo!
nguvu ya mamba kumayi NGUVU YAO KUMFUKO!tulia mamduchu!
maeneo tunayoishi yanatuathiri! nina mpango wa kuhamia magogoni 2015! kwa hisani ya watu wa marekani!
 
mie siku hubby wangu akija hata na sabuni ya lux! nampaaaaa mpaka anakinai, au birthday yangu aninunulie hata pichu ya kufuma tu, nampaje sasa!! anapima oil mpaka anakinai! lol, acheni ubahili, msijifanye eti equl rights wakati mnakulaga bila kubakiza kiporo! wapi Zinduna???
nini lux bana hata revola inahuu mwenzangu !sio tu mwanaume mijicho imekutoka wakati hata lamba lamba mkeo humnunulii!kisa nini ah NITAMUHONGAJE MKE WANGU BWANA!
hebu mtuhonge huko !
 
Hadanganyiki mtuu hapa hatuhongi ng'o na kula tutawala saana tu. Nyie dawa yenu sound tu, na vile siku hizi mwapenda magari tutaazima magari na kuwagonga mpaka mkome. nyie mshaona sokwe akiwa atafuna kitu? Saa zima bado kitu hakitok na mpaka demu anakimbia, mwataka tuhonge wakat sie dakika mbili tu wazee wanamwagika.
 
Kina kaka wa JF, mmeona jamani kuhonga ni kitu cha asili yaani kiko kwenye gene, si mmeona our close relative (tunashare 98.2% ya genetic make up) wanavyofanya. So guys huto tuvitz tutoeni msione soo. Vipi wadada (@Smile, Preta, Ciello, snowhite, lara 1 et el) mnasemaje? LOL
kwa hiyo tuwahonge!!!in exchange of sex!!!nooooop,kwani wewe hauta enjoy!!kama uta enjoy hakuna kukuhonga!!
 
Hata siku moja

i believe in equal responsibilities na ayependa kuhongwa namuona kama chimp.... kuna tofauti kubwa kati ya kuhongwa na kupewa present, na hata zawadi sitoi kama mtu ana anticipate, labda ndio maana sipendwi, but i wont change my philosophy...

kuhonga mwanamke ni kumkandamiza kijinsia tu

What if kama NINATAKA kukandamizwa kijinsia, si useme tu kuhonga ni kupunguza kidogo ulicho nacho! LOL
 
Hadanganyiki mtuu hapa hatuhongi ng'o na kula tutawala saana tu. Nyie dawa yenu sound tu, na vile siku hizi mwapenda magari tutaazima magari na kuwagonga mpaka mkome. nyie mshaona sokwe akiwa atafuna kitu? Saa zima bado kitu hakitok na mpaka demu anakimbia, mwataka tuhonge wakat sie dakika mbili tu wazee wanamwagika.

Is it our fault??? LOL
 
Huyu kibonge hapa naona basi atakuwa anagawa karibu nyama yote maana hivyo vitu anavyopakuliwa si kawaida.

Huwa najiuliza, sijui huyo Dada gorilla anaweza kulinganisha na dada gani hapa JF.

Ngoja niwaachie wafanya utafiti wa hapa JF (wanaume) ili waisifie mvua iliyo wanyeshea.

Huo utafiti kweli ni kiboko. Anyway, binadamu na hawa wanyama hatuna tofauti kubwa. Labda wamesoma kutoka kwetu.

Last edited by a moderator:
What if kama NINATAKA kukandamizwa kijinsia, si useme tu kuhonga ni kupunguza kidogo ulicho nacho! LOL
kwi kwi kwi kwi

nitoe wapi hata hicho kidogo ndugu yangu??? mie mkono wa birika hata ningekua nacho, nimelelewa kijeshi na mama mwanabeijing kwelikweli, hadi vitumbua nilipika niko under ten, mama yangu siku zote alikua anawaambia ndugu zangu wa kike kauli moja tu... "UKIPENDA VYA KUNYONGA, UTANYONGWA KITU NA KILA MTU"

She is a very proud woman when it comes to that, and i respect her for that... Hata nipewe bilioni, sidhani kama ntahonga, kusaidia naweza lakini si kuhonga
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom