Kumbe Chimpazees nao mabingwa wa kuhonga?

Kumbe Chimpazees nao mabingwa wa kuhonga?

Of course mkunwaji, so men should enjoy kuchunwa while they can. LOL

Hakuna mwanaume ambae anakubali 'the value of the product'
halafu alalamike kuchunwa
ukiona hataki umchune basi hajakubali thamani ya product...
get it?
 
du! kweli mwaume mateso2! karaha kenyewe dakika 0 tu
 
Ndo maana zubeda nilimbandua baada ya kula mishkaki pale kwa bonge ...asante marisecha wangu wa mambo ya nyani
 
Hivi kweli hata wewe Kaunga unaweza kushangilia kitu inaitwa kuhonga?

Au hapa ni chit chat??

Ngoja niangalie tena...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Kuna kitu kimoja muhimu sana naona wadada na wamama wa MMU wamekisahau...(Kaunga snowhite et al.)!

Hawa sokwe wanaishi katika maisha ambayo wanashindana ili kupata nafasi ya walau kuburudika na kutengeneza uzao wao.

Sisi tunamiliki wenza wetu na baada ya hapo hakuna mashindano tena.. Kama yangekuwepo, labda hata Babu angehonga...

Na ndiyo maana, wataalamu wa kuonjakuonja kila chungu wanahonga sana......including hizo vitz nyekundu!!

Sie wengine twafanya kusomba mikaa na mavyakula na kuyajaza nyumbani ili watoto na wajukuu washibe...Na mwishowe bibi yao afurahi...

Kuna wajibu hatujatimiza hapo...tena romantically in our way??

cc. The Boss, Asprin, Kaizer na wezee wengine wa kijiwe hiki!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Bwana Dark City najua unanijua, so kwa muda niache nijifirahishe na wadada kwanza; duh!

Hapa sasa umenena...


Mukuwe na siku yenye furaha na raha....

Ila bado mie nayakumbuka maneno ya dada mmoja kuwa, "hawara hahongi hata siku moja, hununua huduma".....No service no penyy!!

Babu DC!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom