Kumbe CHADEMA haifahamiki Vijijini

Kumbe CHADEMA haifahamiki Vijijini

mimi ni mchaga nitawabaguaje ndugu zangu tena wa damu. kuhusu wapemba mambo yao hayanihusu mimi mtanganyika tena wapemba ni waswahili

Wewe una amnesia nini,kwa nini mmemteua Salm Ahmed Salm kwenye Tume ya mabadiliko ya katiba huku si raia wa Tanzania si umesema ushahidi mnao?
 
MBONA HATUA HIZO ZIMECHUKULIWA KITAMBO SANA MKUU ? MBONA hauko AWARE , NINI MAANA YA KUANZISHA KANDA AU CDM NI MSINGI ? LAWAMA BILA UTAFITI HUGEUKA KUWA MAJUNGU TU .
mkuu umefanya utafiti juu ya hizo kanda? Hakuna kinachofanyika kwenye kanda nyingi, mfano mikoa ya mtwara,lindi hata ruvuma! Pia suala la viongozi wa wilaya na mikoa kutolipwa ni tatizo! Ningependa sana chadema wachukue nchi, lakini kwa mtindo huu ni ndoto za mchana..
 
Wewe ndio mwenezi wa Act Tanganyika?, Adui wa watu ni yule anatetea haki za raia bali mtu ya watu ni wale wanaootetea mafisadi ili kupata mradi wao
mkuu chadema wakijenga mazingira ya kutotaka kukosolewa mnatutisha, je mkiingia madarakani si mtatufunga midomo? Hamtakuwa madikteta? Penye matatizo ndani ya chadema lazima tuseme, kwa nini chadema wasiajiri makatibu wakuu wa chama mikoani? Kama umeamua kuniita ACT, we endelea tu, lakini ukweli lazima usemwe!
 
jifarijini kwamba CCM wanajidanganya, ndo mnakufa hivyo msipobadilika.

Busale, Kasumulu, Ngana, Matema, Itope, Katumbasongwe, Kajunjumele kote huko ni kijijini sana watu wanaishi kwenye nyumba za nyasi lakini wanaongozwa na CHADEMA KUANZIA DIWANI MPAKA WENYEVITI WA VITONGOJI. Na Busale toka nchi inapata uhuru hawajawahi kuziona bomba za maji ingawa mto mkubwa wa Kiwira unapita katika vijiji hivyo.
 
Wewe una amnesia nini,kwa nini mmemteua Salm Ahmed Salm kwenye Tume ya mabadiliko ya katiba huku si raia wa Tanzania si umesema ushahidi mnao?

wewe una myopia unadhani ccm na vyombo vyetu vya usalama hatuwezi kumjua huyu ni mtanzania na huyu ni mwarabu. napata wasiwasi na wewe na uraia wako pia
 
mkuu umefanya utafiti juu ya hizo kanda? Hakuna kinachofanyika kwenye kanda nyingi, mfano mikoa ya mtwara,lindi hata ruvuma! Pia suala la viongozi wa wilaya na mikoa kutolipwa ni tatizo! Ningependa sana chadema wachukue nchi, lakini kwa mtindo huu ni ndoto za mchana..
MTWARA NA LINDI NI TATIZO , LAKINI kama ruvuma nako ni hivyo huo utakuwa uzembe , tunakushukuru na umesikika , bila shaka wakuu watalifanyia kazi jambo hili , CC - MOHAMED MTOI .
 
Busale, Kasumulu, Ngana, Matema, Itope, Katumbasongwe, Kajunjumele kote huko ni kijijini sana watu wanaishi kwenye nyumba za nyasi lakini wanaongozwa na CHADEMA KUANZIA DIWANI MPAKA WENYEVITI WA VITONGOJI. Na Busale toka nchi inapata uhuru hawajawahi kuziona bomba za maji ingawa mto mkubwa wa Kiwira unapita katika vijiji hivyo.

weka picha
 
Mbona kama ushahidi mnao ulete hapa jf na pia mbona jana salmu Ahmed Salm mlimteua kuwa mjumbe wa Tume ya mabadiliko ya katiba? bado mnaendeleza na kuonesha kuwa chama hiki ccm si makini ndio maana mko tayari wazungu watuibie raslimali zetu?
mkuu ccm inaishi kwa ghiliba na kutegemea dola! Bila ujanjaujanja hakuna ccm!
 
Busale, Kasumulu, Ngana, Matema, Itope, Katumbasongwe, Kajunjumele kote huko ni kijijini sana watu wanaishi kwenye nyumba za nyasi lakini wanaongozwa na CHADEMA KUANZIA DIWANI MPAKA WENYEVITI WA VITONGOJI. Na Busale toka nchi inapata uhuru hawajawahi kuziona bomba za maji ingawa mto mkubwa wa Kiwira unapita katika vijiji hivyo.
siwezi kataa mkuu, lakini ni sehemu ndogo sana, tanzania kuna vijiji vingi xana! Vijiji vingi chadema hawajafika bado!
 
MTWARA NA LINDI NI TATIZO , LAKINI kama ruvuma nako ni hivyo huo utakuwa uzembe , tunakushukuru na umesikika , bila shaka wakuu watalifanyia kazi jambo hili , CC - MOHAMED MTOI .
kama watafanyia kazi nitashukuru mkuu, ikulu bila kufanya mikutano vijijini itakuwa ni ndoto!
 
hata mjini siku hizi tunajua chadema ni saccos sio chama cha siasa tena.

Wakuu nawasalimu,

Kwa mawazo yangu nilivyokiona CHADEMA kwa nje nikajua ni chama chenye umaarufu mijini na pia vijinini kumbe sio kweli.

Nimekuwa katika ziara za chama changu CCM katika maeneo ya mikoa mbalimbali na kuja kugundua kwamba
CHADEMA hakifahamiki maeneo ya vijijini kama vile mjini.

Mosi katika mikoa hiyo kama Iringa Vijijini hawajui kuna
CHADEMA,Kilimanjaro Vijiji vya Kolyambua,Kilasanioni na vijiji vingine hawajui CHADEMA zaidi ya TLP na CCM.

Vijiji vingi vya mikoa tuliopita kama Korogwe vijijini,Songea vijijini,Manyara vijijini,Singida vijijini huko ni CCM tu inafahamika hakuna
CHADEMA.

Ombi langu kwa
CHADEMA wajipange kwanza kueneza chama chao vijijini kabla ya kuwaza kushika dola kwani ni ngumu sana kama ngamia kupita tundu la sindano.

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom