Kumbe CHADEMA haifahamiki Vijijini

Kumbe CHADEMA haifahamiki Vijijini

huo ndio ukweli mkuu. wajipange upya mambo ya kuchukua dola bado sana

Nilikwambia jana ,lete ushahidi kuwa Salm Ahmed Salm kuwa si raia wa tanzania ukakaa kimyaaa!!
Sasa nani kakwambia kuajiri makatibu wakuu wilayani ndio kuchukua nchi?
Ccm pamoja na kuwa nao,ulisikia wapi katibu ccm wilaya ya kondoa kwa mfano amefanya mikutano? Kama si mpaka uchaguzi ukaribie?
Sasa hivi kila kona mmeanza kufungua mashina ya wahuni vijiweni! Ccm ujanjaujanja!
Kila mpinzani kwenu si raia wa Tanzania,chama kikikosa sera hatari sana
 
hizi propaganda kwamba tunapewa elfu saba acheni mimi sijawahi kupewa niambieni wapi wanatoa buku saba niende
Si nimekwambia pale Lumumba, kwani hupajui?

Omba tu appointment na propagandist no. 1 wa chama chenu Napeeee, ili ukipita kwenye 'usaili' wake, akuingize kwenye payroll!
 
Back
Top Bottom