mmaranguoriginal.
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,060
- 460
- Thread starter
- #21
Critical analysis inaniongoza kusema kuwa CDM mpaka ilipofikia imejitahidi sana taking into consideration mabavu ya CCM kwa kutumia vyombo vya ulinzi, Usalama, pesa za umma and other public resources kuizima. CCM has been in the monopoly of TZ politics for 50 years with all public resources at their disposal!
mkuu kuna kazi ya ziada kwa chadema kupitia vijijini kuna wananchi hawakifahamu kabisa, wafanye utaratibu wa kutumia vijana kama bavicha kwenda kufanya survey ya kina kukielezea chama chao na sera zao.