Kumbe CHADEMA haifahamiki Vijijini

Kumbe CHADEMA haifahamiki Vijijini

hizi propaganda kwamba tunapewa elfu saba acheni mimi sijawahi kupewa niambieni wapi wanatoa buku saba niende
siamini kama hii kazi ya laana unayofanya haihusishi B7 lakini kama ulikuwa unaifanya kwakufuata mkumbo fika lumumba pale ofisi ndogo ya makao makuu jitambulishe kuwahuwa unaandika threads kwenye mitandao ya kijamii najana yaani leo umepost cdm haijulikani vijijini lazima utapata B7yako
 
mimi nipo hapa lumumba sijawahi kupata buku saba.
 
Tatizo si chama bali tatizo ni mtu coz ccm ina majembe as same as chadema lakini pia chadema ina wanywa viroba wengi saaana as same as ccm
 
ww mwizi tu ndio mnaowasababishia wtz matatizo kwa mipango yenu ya wizi wa fedha na kura kila wanapotaka kuwatoa mnabadili matokeo kuna siku itafika watasema liwalo na liwe.

wewe jidanganyeni badala mfanye mpango kwenda vijijini mpate wanachama wengi wawezi kukamata dola bila kupata kura za vijijini
 
Vijiji vya Dodoma, ukitaja chadema ni MSAMIATI mgumu. Wao wanajua chama cha Malecela tu CCM.
 
Back
Top Bottom