Tatizo la Chadema wameshalewa sifa, hawana habari na vijijini, huwezi kuchukua nchi kwa kufanya mikutano mijini tu, chadema bado hawajajipanga kuchukua dola, labda miaka 15 au 20 kuanzia sasa mbeleni, ruzuku hazitumiki kwa lengo la kukisambaza chama, malipo au posho huishia makao makuu tu, wameiga uleule mfumo wa ccm ingawa wao angalau wanawalipa makatibu wakuu wa wilaya, lakini mabalozi wa nyumba kumi hawana chao! Chadema ilipaswa wafanye mikutano mingi vijijini!
Wewe ndio mwenezi wa Act Tanganyika?, Adui wa watu ni yule anatetea haki za raia bali mtu ya watu ni wale wanaootetea mafisadi ili kupata mradi wao