nawashangaa sana cdm ,wanataka kuongoza nchi hii ,ukiangalia pale ndani utaona hamna kitu ,hivi wanafikiria wanataka kuongoza kijiji ? Ndio maana unawasikia wataunda serikali ndogo iliyo na mawaziri wachache sana,nikakumbuka pale walipoweka mgombea mwenza jamaa aliehitimi darasa la saba ,na kwa zanzibar hakuna darasa saba ,inamaana alikimbia shule. Eti watategemea washauri ,unategemea washauri wakati nao wanahitaji elimu ya juu.
Hebu tupangieni hapa safu yenu ,tuiite proposed safu ya uongozi ,ukianza na raisi labda tuseme wizara kumi mpaka kumina tano ,tuone ! Na kuwajadili au kuijadili hio safu !
SHOCKING!!!!!!!!!:shock::shock:Nawashangaa sana CDM ,wanataka kuongoza Nchi hii ,ukiangalia pale ndani utaona hamna kitu ,hivi wanafikiria wanataka kuongoza kijiji ? Ndio maana unawasikia wataunda serikali ndogo iliyo na mawaziri wachache sana,nikakumbuka pale walipoweka mgombea mwenza jamaa aliehitimi darasa la saba ,na kwa Zanzibar hakuna darasa saba ,inamaana alikimbia shule. eti watategemea washauri ,unategemea washauri wakati nao wanahitaji elimu ya juu.
Hebu tupangieni hapa safu yenu ,tuiite proposed safu ya uongozi ,ukianza na Raisi labda tuseme wizara kumi mpaka kumina tano ,tuone ! na kuwajadili au kuijadili hio safu !
Hivi matumaini yako CDM itaweza kushusha bei ya vyakula ? iwe sukari 1kg sh 500/ ,1kgsembe 250/,1kgwali 600/ ,watu wanaelekea kwenye soko huria .
Hapo ndipo mnapopotezwa na ahadi hewa ,kwani hamuelewi mpo katika mazingira ya aina gani ,nahitajia hio safu ambayo itaweza kumuwekea Mtz maisha nafuu ,watu wanasema maisha ya leo afadhali ya jana. sasa hayo ya kesho ya CDM sijui itakuwaje kama 1kg sukari 6000/ au zaidi.
Nenda kawahoji wasomi wa vyuo vikuu, ukianzia na wahadhiri hadi wanafunzi wao kwamba wao ni wanachama wa chama gani, na kwamba 2015 watapigia kura wagombea wa chama kipi, ndio utagundua CDM ina wasomi au haina. Endelea pia kuuliza ni wangapi wameshatuma maombi CDM kugombea nafasi mbalimbali 2015, utazimia! Achana na watawala vilaza kama akina Mkandala wa REDET ambao wanaiunga mkono ccm kinafiki ili waendelee kushikilia nafasi zao.Nawashangaa sana CDM ,wanataka kuongoza Nchi hii ,ukiangalia pale ndani utaona hamna kitu ,hivi wanafikiria wanataka kuongoza kijiji ? Ndio maana unawasikia wataunda serikali ndogo iliyo na mawaziri wachache sana,nikakumbuka pale walipoweka mgombea mwenza jamaa aliehitimi darasa la saba ,na kwa Zanzibar hakuna darasa saba ,inamaana alikimbia shule. eti watategemea washauri ,unategemea washauri wakati nao wanahitaji elimu ya juu. Hebu tupangieni hapa safu yenu ,tuiite proposed safu ya uongozi ,ukianza na Raisi labda tuseme wizara kumi mpaka kumina tano ,tuone ! na kuwajadili au kuijadili hio safu !
Nenda kawahoji wasomi wa vyuo vikuu, ukianzia na wahadhiri hadi wanafunzi wao kwamba wao ni wanachama wa chama gani, na kwamba 2015 watapigia kura wagombea wa chama kipi, ndio utagundua CDM ina wasomi au haina. Endelea pia kuuliza ni wangapi wameshatuma maombi CDM kugombea nafasi mbalimbali 2015, utazimia! Achana na watawala vilaza kama akina Mkandala wa REDET ambao wanaiunga mkono ccm kinafiki ili waendelee kushikilia nafasi zao.
Mharakati,CDM wanatumia tu mgawanyiko wa CCM,kujifanya wako makini...lakini hamna kitu kabisa pale..ubinafsi, uzalendo feki, uroho wa madaraka, kutokua na uzoefu, vihiyo, wapiga domo, umimi, unafiki umewajaa sana hawa CDM. Na kibaya zaidi kuliko CCM, hawana wasomi wazuri na watajaribu jaribu na kuunga unga kazi, kitu ambacho watanzania hatuitaji katika muda huu wa historia ya taifa...
Hawa CDM wamepata umaarufu wa kisiasa bila kutegemea kwa matatizo ya ndani kwa ndani ya CCM, sasa mara hii watu walioshindwa hata kuajiriwa kwa miaka 2 wanataka kuendesha moja ya tawala kubwa na ngumu Afrika (JMT)..Huu siyo muda wa kujaribu jaribu na kuunga unga, watu makini wanataka CDM iendelee kukomaa bungeni ikiwa chama kikubwa cha upinzani huku ikiongeza idadi ya wabunge, (na wale wenye vicertificate kama Mbowe wakasome kwanza)..Tanzania haiwezi kutawalia muda huu na a bunch of yesterdays' amateur political activists now turned accidental political propagandists.
wanahitaji muda zaidi hawa kuwaangalia na kuwapima na kwa hili bado sijaona mbadala wa CCM pamoja na mapungufu yao ya kiutekelezaji huku kukiwa na muamko na ari zaidi ya mabadiliko ya ndani kwa ndani ya chama...labda 2035 (kama CDM itakua haijafa kwa uroho wa madaraka, ubaguzi na ubinafsi uliopindukia)
Mbona hili tulishalizungumzia mara nyingi? Siye Slaa aliyetoka na list of shame na kuufahamisha umma wa Tanzania jinsiMbona hamtangazi kama mali zilizoibiwa pamoja na wezi wenyewe mtawafanya nini? au na nyie mnataka kuja kuiba kwa zamu?...mageuzi na mapinduzi haya ya kisiasa kabisa hapa Tanganyika yanabidi yaje na kusafisha mfumo na wanamfumo waliopita (rudisha hela toka nje, taifisha mali zisizo halali hapa ndani, rudisha zile nyumba za serikali, funga hawa wezi) So far Zitto, SLaa, Mbowe et el wamekua kimya, kimya kikionyesha hawana moyo wa mageuzi ya kweli bali wanataka zamu yao ya kula...hata ****** aliingia na kesi zake za watumiaji wabaya wa ofisi za umma (ili kuondokana na upumbavu wa mr Clean)
Mharakati,
Watu makini ndio akina nani, hao unaowasema kuwa wanataka CDM iendelee kukomaa bungeni? Hivi TANU ilipochukua nchi mwaka 1961 walikuwa na uzoefu gani? Mbona Waingereza hawakusema ngoja hawa waendelee kukomaa bungeni?
Umeona manyanyaso ambayo CCM inawapa CDM bungeni? Wewe ungependa hali hiyo iendelee huku raslimali zetu zuikiendelea kutolewa bure kwa wageni na CCM? I think not. CCM isipewe muda zaidi bungeni na vile vile Magogoni.
Dr. Bana yupi?Benson?No way..........Lissu, Mbowe, Slaa, Mnyika, Sugu, Mrema, Mwita Mwikabe, Wenje, Msigwa, Prof. Baregu, Prof. Kahisi, Dr. Mkumbo, Mimi, Wewe, Yeye, Sisi, Wao, Ndesamburo, Lissu Mdogo, Mabere, Prof. Safari, Prof. Shio, Dr. Shio, Dr. Bana, Furaha Julias, Rodrick, Saria, Lwakatare, Selasini, Halima Mdee, Rose Kamili, Mashumbusi, Silinde, Zitto, Dr. Bana, Waitara, ...............
Nyerere ndiyo maana alishindwa (ukiwa na akina kawawa 100 huendi popote)..hatutaki tena kurudi mwaka 61'.
CDM ni opportunists hawajawahi sema sera zao mahsusi za kuongeza pato la taifa zitakuaje, hawajawahi sema kama mafisadi na mfumo wao watauzika vipi (kuwafungulia kesi hawa wezi? kuwanyang'anya mali na hela zilizo ulaya ambazo ni dhahiri wameiba au ?) haya naona ni mageuzi mdomo na siyo ya kweli, watu makini (siyo wale mashabiki wa ukanda, udini, au waliokata tamaa na tanzania na maisha kwa sababu za kutojituma) kama mimi hatuoni hawa kua ni mbadala sana sana ni watu wataokafanya haya haya ya CCM huku ikiwezekana wakitumia nguvu kuliko hata CCM kuunyamazisha upinzani wa wakati huo.
wacha CDM wakomae miaka 10-15 mingine..Taifa letu tukufu haliko kwenye LIFE SUPPORT jamani, na siku ikifika tumefika hapo hamna kiongozi wa kutuonyesha hilo tutachukua nchi yetu wenyewe. Kwa sasa hii desperation sioini.
Nawashangaa sana CDM ,wanataka kuongoza Nchi hii ,ukiangalia pale ndani utaona hamna kitu ,hivi wanafikiria wanataka kuongoza kijiji ? Ndio maana unawasikia wataunda serikali ndogo iliyo na mawaziri wachache sana,nikakumbuka pale walipoweka mgombea mwenza jamaa aliehitimi darasa la saba ,na kwa Zanzibar hakuna darasa saba ,inamaana alikimbia shule. eti watategemea washauri ,unategemea washauri wakati nao wanahitaji elimu ya juu.
Hebu tupangieni hapa safu yenu ,tuiite proposed safu ya uongozi ,ukianza na Raisi labda tuseme wizara kumi mpaka kumina tano ,tuone ! na kuwajadili au kuijadili hio safu !