Kumbe CDM hamna Wasomi

Nawashangaa sana CDM ,wanataka kuongoza Nchi hii ,ukiangalia pale ndani utaona hamna kitu ,hivi wanafikiria wanataka kuongoza kijiji ? Ndio maana unawasikia wataunda serikali ndogo iliyo na mawaziri wachache sana,nikakumbuka pale walipoweka mgombea mwenza jamaa aliehitimi darasa la saba ,na kwa Zanzibar hakuna darasa saba ,inamaana alikimbia shule. eti watategemea washauri ,unategemea washauri wakati nao wanahitaji elimu ya juu.

Hebu tupangieni hapa safu yenu ,tuiite proposed safu ya uongozi ,ukianza na Raisi labda tuseme wizara kumi mpaka kumina tano ,tuone ! na kuwajadili au kuijadili hio safu !

Waulize chama cha magamba (CCM) km Kawawa na Makamba walikuwa ni wasomi. Chama au Taifa lolote haliwezi kuwa na wasomi wa kiwango kimoja, na uongozi au utawala unaozingatia usawa lazima uwape watu wote fursa sawa ya kuwatumikia watu regardless of their level of education, colour, religion etc ilimradi tu wanao uwezo wa kuongoza. Pia huna hoja kwani wanachama wengine ambao hawako front line wapo wengi tu ambao ni wasomi waliobobea km ilivyo kwa vyama vingine au taifa lolote, leo wewe ukiambiwa uwataje wasomi wote wenye masters na PhD Tanzania utaweza? Hauwezi lakini wapo wengi tu. Nadhani kinachokusumbua wewe ni ufinyu wa kupembua. Mao Tse Tung alisema 'no research no right to talk'.
 
Kwa taarifa yako wasomi tuko wengi sana tunaounga mkono CHADEMA kuliko CCM.....SUBIRI WAKATI UFIKE

Kwani wakati si ndio huu ? Au umekusudia wakati gani ndugu ? Watu wanakufa wewe unasema unasubiri wakati ,huu ulionao ni ugoigoi !
 
1. bora umekiri kwamba CDM watachukua nchi, 2. subir hyo list utaiona 2015, 3 cjajua kigezo gn cha ww kumtambua ,msomi ni nani, maana kusoma c cheti ni uelewa. 4. Naomba upime kiwango cha elimu cha tanganyika na zanzibar shule zipi zinazoongoza.

Shule zinazoongoza ni zile walizochaguliwa wanafunzi kuingia sekondari kwa wingi ,ajabu wanafunzi waliochaguliwa wengi wao hawajui kusoma au kuandika,au hujasikia ?

Inamaana viongozi tunaowatarajia watakuwa wamepasishwa na mashahada makubwa makubwa kwa wingi kumbe hawajui kuandika wala kusoma.

Uongozi si lele mama ukafananisha na kuchuma mananasi ! Au sivo tutaongozwa kidicteta hapa !
 
kutokana na huu mlolongo wa watu kuweka cv za baadhi ya wabunge, imenibidi niangalie baadhi ya cv za wabunge wa chadema kweli ina tia aibu! kweli ndo mna taka kuchukua nchi?
 
kutokana na huu mlolongo wa watu kuweka cv za baadhi ya wabunge, imenibidi niangalie baadhi ya cv za wabunge wa chadema kweli ina tia aibu! kweli ndo mna taka kuchukua nchi?

duh most ya wabunge wa chadema elimu ni ndo sana


Mkuu una elimu gani?
 
kutokana na huu mlolongo wa watu kuweka cv za baadhi ya wabunge, imenibidi niangalie baadhi ya cv za wabunge wa chadema kweli ina tia aibu! kweli ndo mna taka kuchukua nchi?

SIASA sio ELIMU siasa ni HEKIMA; Angalia wa CCM wana ELIMU YA HALI YA JUU na MA-ACCOUNT USWISI ndio

Unawapenda hao wa CCM; wanajua kukudanganya kwa POROJO; Usiku Ukifika anapanda ndege kutorosha MALI za

Nchi na kukuacha wewe na familia yako HAMNA UMEME, MAJI SAFI, KAZI, ELIMU BORA na AFYA NZURI

Wao kila kitu nje ya nchi na watoto wao... Una ishi kwenye ARDHI wanakudanganya UONDOKE wampe MZUNGU

Mwekezaji utapata HOSPITALI unasubiri la hasha... WEWE FURAHIA ELIMU ZAO TU; NA WANAKUCHOMOLEA

MALI GHAFI NCHINI... HAUJUI HIZO ELIMU ZAO WALIZIPATA SABABU YA NCHI INAYOITWA TANGANYIKA nee TANZANIA

KWAHIYO KAMA NI USAWA HATA HAO WA CHADEMA PIA WANGEPATA HIYO ELIMU LAKINI NI WHO's WHO...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom