Hakuna sababu za kutumia majina ya kukashifu. Mjadala unaenda vizuri na maswali ya Mwiba ni valid.We zezeta kama wewe unapata wapi akili ya kupiga hesabu?
Hakuna sababu za kutumia majina ya kukashifu. Mjadala unaenda vizuri na maswali ya Mwiba ni valid.We zezeta kama wewe unapata wapi akili ya kupiga hesabu?
Hakuna sababu za kutumia majina ya kukashifu. Mjadala unaenda vizuri na maswali ya Mwiba ni valid.
Kama unaona kichefuchefu nakushauri ukatapike katika choo cha magamba.Rais mbowe mawaziri sugu,lema former mp,lucy kiwelu,watamalizia wao mimi naona kichefuchefu tu hapa hawa watu bado hawajajipanga kuchukua nchi labda ubunge tu
Huwezi kuwaona kwa sababu unaangalia ndani ya box. Sisi tunaangalia nje ya box. Siasa za personalities ndizo zimewafikisha CCM hapo walipo. Hawana ideas, hawana sera, hawana vision. Sisi tunajenga vision ya kuwasaidia Watanzania kujikwamua na ufisadi, kuwasaidia Watanzania wawe wawekezaji na wajasiriamali wenyewe, kuwasaidia Watanzania kusimamia maendeleo yao bila kutegemea wale waliotunyonya na kutufikisha hapa kwamba ndio wakombozi wetu. Sasa wewe ukianza kuangalia personalities, huwezi kuwaona, lakini ukijikita katika sera na vision wapo Watanzania ndani na nje ya nchi ambao wako tayari kulisukuma gurudumu hili la mageuzi.
Mbona silaha zinajulikana ,ninavyofahamu silaha za Chama ni sera ,? Na nilichowapa ni ushindi hivyo katika ushindi nilihitaji ni nani hao ambao(proposed) wataongoza nchi hii ? baada ya kushinda uchaguzi ,mbona mnakuwa wagumu ni kitu rahisi tu ,inaonyesha hamujiamini mnaogopa ,si ndio !
kwenye red patamu..........Naona mnafufuka mmoja mmoja ,yaani mnakuwa kama mazombi ,unaulizwa wewe unarukia kwengine ,mkuu hapa nazungumzia CDM tu .
Inawezekana wewe humjui hata kiongozi mmoja wa CDM zaidi ya Slaa,Zito,Mnyika,Lisu na mbowe ni hatari kubwa sana kuwa na wafuasi wa dizaini zako.
Hakuna sababu za kutumia majina ya kukashifu. Mjadala unaenda vizuri na maswali ya Mwiba ni valid.
Nawashangaa sana CDM ,wanataka kuongoza Nchi hii ,ukiangalia pale ndani utaona hamna kitu ,hivi wanafikiria wanataka kuongoza kijiji ? Ndio maana unawasikia wataunda serikali ndogo iliyo na mawaziri wachache sana,nikakumbuka pale walipoweka mgombea mwenza jamaa aliehitimi darasa la saba ,na kwa Zanzibar hakuna darasa saba ,inamaana alikimbia shule. eti watategemea washauri ,unategemea washauri wakati nao wanahitaji elimu ya juu.
Hebu tupangieni hapa safu yenu ,tuiite proposed safu ya uongozi ,ukianza na Raisi labda tuseme wizara kumi mpaka kumina tano ,tuone ! na kuwajadili au kuijadili hio safu !
Rais mbowe mawaziri sugu,lema former mp,lucy kiwelu,watamalizia wao mimi naona kichefuchefu tu hapa hawa watu bado hawajajipanga kuchukua nchi labda ubunge tu
Wasomi wa CCM wameifikisha wapi CCM na nchi kwa ujumla? Mwenyekiti wenu mchumi wa chuo kikuu hajui kwa nini nchi anayoiongoza ni maskini!
Wasomi CDM wako wengi sana, tofauti ni kuwa wengi wao ni vijana wadogo na professionals wenye shughuli zao. Unataka wote tuvae magwanda kwenda maofisini ndio mjue kuna wasomi kiasi gani! 2015 ndio utaona ninachozungumzia leo.
ccm inawasomi wengi sana na wametumia usomi wao kuliangamiza taifa.pumbaf
Nawashangaa sana CDM ,wanataka kuongoza Nchi hii ,ukiangalia pale ndani utaona hamna kitu ,hivi wanafikiria wanataka kuongoza kijiji ? Ndio maana unawasikia wataunda serikali ndogo iliyo na mawaziri wachache sana,nikakumbuka pale walipoweka mgombea mwenza jamaa aliehitimi darasa la saba ,na kwa Zanzibar hakuna darasa saba ,inamaana alikimbia shule. eti watategemea washauri ,unategemea washauri wakati nao wanahitaji elimu ya juu.
Hebu tupangieni hapa safu yenu ,tuiite proposed safu ya uongozi ,ukianza na Raisi labda tuseme wizara kumi mpaka kumina tano ,tuone ! na kuwajadili au kuijadili hio safu !
Rais mbowe mawaziri sugu,lema former mp,lucy kiwelu,watamalizia wao mimi naona kichefuchefu tu hapa hawa watu bado hawajajipanga kuchukua nchi labda ubunge tu
mimi naitaj kiongozi na siitaj msomi kwani ni wasomi wangapi wapo kwenye serikali hii ya ******? nini wanachofanya zaidi ya kubuni mbinu za kutuibia kila cku?kwa kuwapa maprofesa uongoz ni kuzalilisha elimu zao wa 7bu wanafanya madudu mpaka naona hakuna haja ya kusoma. kwa mfano huyu mchemba ana elimu ya darasani lakn hajaelimika hata kidogo kwa maisha ya kawaida hamnazo huyu.