KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 3,449
- 4,417
Nani wa upinzani aliyegombea na hakuruhusiwa kufanya kampeni?Hakuna uchaguzi uliofanyika Tanzania
Mseveni karuhusu boby wine kufanya campaign mwanzo mwisho
Nani wa upinzani aliyegombea na hakuruhusiwa kufanya kampeni?Hakuna uchaguzi uliofanyika Tanzania
Mseveni karuhusu boby wine kufanya campaign mwanzo mwisho
Mliwafuta wote, mwenye nguvu zaidi mlimuweka sero, waliobaki walikuwa vibaraka wenu mliowaweka kwa gharama zenu, mwenye nafuu kidogo alikuwa yule wa Act, mkamyima haki yake kugombea,au mlitaka nani agombee kwenye upinzani? Chauma?Nani wa upinzani aliyegombea na hakuruhusiwa kufanya kampeni?
M7 ni mwanaume na anaongoza kiume.Pamoja na mauzauza yote yanayofanywa na Yoweri Museveni kwenye uchaguzi unaoendelea huko Uganda, angalau kuna mambo anayafanya kiungwana.
Nimefuatalia vituo kadhaa vya kupigia na kuhesabu kura, nimependa staili yao ya kuhesabu kura hadharani mbele ya wapiga kura kadhaa.
Mambo ya kuhesabu kura gizani ni ya kizamani Sana yanayopendwa na CCM.
Una mavi kichwani wewe unafikri huo ndio ubongo!Nani wa upinzani aliyegombea na hakuruhusiwa kufanya kampeni?
Lakini kumbuka Bobi Wine kafanya kampeni zake chini ya mtutu! Huo nao ni ujinga!Hakuna uchaguzi uliofanyika Tanzania
Mseveni karuhusu boby wine kufanya campaign mwanzo mwisho
1. Nani aliyefutwa?Mliwafuta wote, mwenye nguvu zaidi mlimuweka sero, waliobaki walikuwa vibaraka wenu mliowaweka kwa gharama zenu, mwenye nafuu kidogo alikuwa yule wa Act, mkamyima haki yake kugombea,au mlitaka nani agombee kwenye upinzani? Chauma?
TATZO LENU MLITAKA KUBEMBELEZWA, HAYO MAISHA HAYAPO TANZANIA
Naona kitengo chenu cha matusi kimefeli sana siku hakifanyi vzr.Una mavi kichwani wewe unafikri huo ndio ubongo!
Aliwahi kusema polepole umesahau au tuilete ile clip hapa alisema kwamba CCM ikifanya uchaguzi wa haki [haiwezi] kuingia Ikulu.. ili iingie ikulu lazima [iibe] !Mambo ya kuhesabu kura gizani ni ya kizamani Sana yanayopendwa na CCM.
Mnasema ccm walijipgia wenyewe kura wao na vibaraka vyao, nyie msio vibaraka hamkupga kura. Uliwa kujiuliza maswali haya au hadi umuulze mange au TECDEMA?Siku CCM wakiruhusu kuwe na uchaguzi huru na wa haki ndio itakuwa mwanzo wa anguko lake. Ushindi wa CCM 90% ni wizi wa kura na msaada wa vyombo vya dola.
Hii hoja yako haina mantiki!!2. Nyie ambao sio vibaraka wa ccm mpo wangapi kiasi kwamba ni wengi hadi muwashinde ccm na vibaraka wao?
MkuuHii hoja yako haina mantiki!!
Kwamba watu milioni 32 walipiga kura?Mkuu
Takwimu zinaongea
Basi mkuuKwamba watu milioni 32 walipiga kura?
Kwani uchaguzi ulifanyika sasa? No reforms no election kweli kweli! Dar watu wameishia kupiga kura saa 5Naona kitengo chenu cha matusi kimefeli sana siku hakifanyi vzr.
Niamby wewe mwenye akili nzuri, nani aliyefutwa?
Huyo maudenda tundu aliyehifadhiwa sehemu salama si tayari yeye na washirika wake walikuwa wamejitoa kwenye hzo mbio?
Unajua maudenda aliwekwa sehemu salama baada ya kuahidi kuvuruga uchaguzi ambao yeye alisema kuwa hatashiriki?
Still it's way better than how things were done in Tanzania.Hiyo ni mahsusi kwa vituo kadhaa kwa ajili ya maonyesho tuu. Then kura zinapinduliwa kama kawa.
Kabisa!!!Still it's way better than how things were done in Tanzania.