Kumbe CCM waoga kuliko Museveni?

Kumbe CCM waoga kuliko Museveni?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,158
Reaction score
48,421
Pamoja na mauzauza yote yanayofanywa na Yoweri Museveni kwenye uchaguzi unaoendelea huko Uganda, angalau kuna mambo anayafanya kiungwana.

Nimefuatalia vituo kadhaa vya kupigia na kuhesabu kura, nimependa staili yao ya kuhesabu kura hadharani mbele ya wapiga kura kadhaa.

Mambo ya kuhesabu kura gizani ni ya kizamani Sana yanayopendwa na CCM.
 
Hakuna uchaguzi uliofanyika Tanzania
Mseveni karuhusu boby wine kufanya campaign mwanzo mwisho
 
Pamoja na mauzauza yote yanayofanywa na Yoweri Museveni kwenye uchaguzi unaoendelea huko Uganda, angalau kuna mambo anayafanya kiungwana.

Nimefuatalia vituo kadhaa vya kupigia na kuhesabu kura, nimependa staili yao ya kuhesabu kura hadharani mbele ya wapiga kura kadhaa.

Mambo ya kuhesabu kura gizani ni ya kizamani Sana yanayopendwa na CCM.
Hiyo ni mahsusi kwa vituo kadhaa kwa ajili ya maonyesho tuu. Then kura zinapinduliwa kama kawa.
 
Pamoja na mauzauza yote yanayofanywa na Yoweri Museveni kwenye uchaguzi unaoendelea huko Uganda, angalau kuna mambo anayafanya kiungwana.

Nimefuatalia vituo kadhaa vya kupigia na kuhesabu kura, nimependa staili yao ya kuhesabu kura hadharani mbele ya wapiga kura kadhaa.

Mambo ya kuhesabu kura gizani ni ya kizamani Sana yanayopendwa na CCM.
Mkuu Museveni ni mpenda madaraka sana lakini angalau ana akili kichwani na kubakia kwake kwenye madaraka anakufanya kwa akili. Museveni anafanya kama ilivyokuwa CCM enzi za Nyerere au Mkapa na hata Kikwete. Magufuli ndiye aliyepindua meza na huyu muuaji yeye alitumia makalio zaidi...
 
Mseveni mie nilimuheshimu kuwa ana akiri kuliko vibaka wa CCM , kwenye ubunge 47% walishinda wapinzani can you imagine?

Na ndo maana ameongoza kipindi kirefu, angalia Tanzania kwa upumbavu wa CCM ndo maana ikazuka MO29,

Ila qmmmmmq CCM hawatorudia Tena kuingia kwenye uchaguzi bila Chadema
 
Pamoja na mauzauza yote yanayofanywa na Yoweri Museveni kwenye uchaguzi unaoendelea huko Uganda, angalau kuna mambo anayafanya kiungwana.

Nimefuatalia vituo kadhaa vya kupigia na kuhesabu kura, nimependa staili yao ya kuhesabu kura hadharani mbele ya wapiga kura kadhaa.

Mambo ya kuhesabu kura gizani ni ya kizamani Sana yanayopendwa na CCM.
Msiongee sana. Mpaka uwe ground ndiyo unajua kinachofanyika huko.
 
Museveni ana maujinga mengi ila sehemu ya kwanza ambapo amejitahidi ni amehakikisha elimu ya Uganda haijachakachuliwa. Kama amefanya basi ni kwa kiwango kidogo.

Tanzania sehemu ya kwanza tulipozingua ni kuvuruga elimu yetu ili kuwafanya watu wajinga na wanaoweza kutawalika kirahisi. Hilo limeenda kuharibu kila sekta.
 
Back
Top Bottom