Kumbe Cameron ni mzazi wa hovyo!

mpayukaji

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
940
349
[h=3]Kumbe Cameron ni mzazi wa hovyo![/h]

  • thumbnail.aspx
    Habari kuwa waziri mkuu wa Uingereza David Cameron na mkewe Samantha walimsahau binti yao Nancy (8) baa ni kashfa ya mwaka hasa kwa nchi zinazotetea haki za watoto. Ingawa Cameron na mkewe walijitetea kuwa kila mmoja alidhani binti yao alikuwa kwenye gari la mwenzake, wazazi wengi wameshangaa uzembe huu tena kwa kiongozi wa taifa linalojifanya kujua haki za watu kuliko watu wenyewe. Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.
 
Angalia familia yako achana na familia za watu wengine, achana na nchi za watu! Hao ni binadamu kama wewe sioni ajabu hapo!
 
Kwenye bar? Kwa hiyo jamaa anajichanganya kwenye bar analewa hadi anamsahau mtoto? Fikiria ndio kamsahau kama pale Hongera Bar ingekuwaje? Hivi huko kwao siyo haramu (kinyume cha sheria) kwenda bar na mtoto? Hawana walinzi hao hadi wanamsahau mtoto. Hii ni irresponsibility isiyomithirika.
 
Nchi za Ulaya ulevi ni mtindo mmoja. Vijana wa ulaya ni walevi sana kwa sababu wanaanzia utotoni na kuzoeshwa na wazazi wao. Nchi ya Marekani marufuku kwa ye yote asiyefikisha umri wa miaka 21 kuonekana eneo la bar. Maana yake anaruhusiwa ye yote kuingia baada ya kitambulisho la sivyo awe na umri uonaoonyesha kuzidi miaka 30 hivi.
 
mmmmmmmmmmmh,kwa jinsi ilivyoelezwa hapo haimfanyi kuwa mzazi wa ovyo kwani ingeweza kumtokea binadamu yeyote yule.je,hao ma-bodyguard sio wa hovyo?
 
Jakabumba hujui unachosema hasa ungejua adhabu ya kumpeleka mtoto baa au kumwacha peke yake kwenye nchi zinazojiita zimeendelea. Kama hujui kitu uliza uelimishwe vinginevyo huna watoto au unaishi kwenye nchi ambapo haya mambo ni mapya. Wenzako wanasisitiza kuwa kiongozi lazima awe mfano. Na hili lingefanywa na Obama na mkewe ingekuwa stori.
 
Candid! Sikubaliani na hilo. Unless useme ni nchi ipi ya Ulaya wanakoruhusu watoto under 18kuingia bar! Sina hakika kama unamaanisha Ulaya ipi maana kuna nchi nyingi na pengine sheria tofauti, ila si Ulaya kote!
Nchi za Ulaya ulevi ni mtindo mmoja. Vijana wa ulaya ni walevi sana kwa sababu wanaanzia utotoni na kuzoeshwa na wazazi wao. Nchi ya Marekani marufuku kwa ye yote asiyefikisha umri wa miaka 21 kuonekana eneo la bar. Maana yake anaruhusiwa ye yote kuingia baada ya kitambulisho la sivyo awe na umri uonaoonyesha kuzidi miaka 30 hivi.
 
mmmmmmmmmmmh,kwa jinsi ilivyoelezwa hapo haimfanyi kuwa mzazi wa ovyo kwani ingeweza kumtokea binadamu yeyote yule.je,hao ma-bodyguard sio wa hovyo?
Hivi ni nani anauchungu sana wa mwana, kati ya Mzazi wa mtoto na Bodygurard wa mzazi/familia ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom