Kumbe Bw. Ombeni Sefue alikuwa Jipu..!

Kumbe Bw. Ombeni Sefue alikuwa Jipu..!

Screenshot_2016-03-07-23-30-10.png
swissme
 
Lilikuwa jipu lililolelewa na kulewa madaraka. Limeachwa, likaiva na limetumbuliwa muda muafaka. Kuna Jemadari mmoja wa singida mashariki alisema kuwa " tabia za zamani hazifi haraka". Alitaka kufanya kama alivyokuwa anafanya utawala wa Kikwete, akasahau kuwa utawala wa "Maisha bora kwa kila mtanzania" haukuwa na tija kwa wabongo wengi. Sababu jamaa aliingizwa magogoni kwa mabunda ya noti za mafisadi, huyu tulienaye ameingia kwa machozi ya maskini wengi wa vijijini. Hayo aliyoyafanya ameyafanya sana kwenye utawala wa Kikwete.
Alitaka kumzunguka bosi wake akasahau kuwa jamaa alishasema ameamua kuwa " kondoo wa kafara" kwa watanzania. Anayecheza na huyu bwana mara mia akacheze na wajinga wa ukoo wake. Magu hazungukwi tumuombee awa na maisha marefu ili aendelee kutumbua majipu sawa sawa.

Mkuu wa kaya huyu hana utani na mzembe, hana mzaha na wanajirimbikizia mali kwa jasho la watanzania maskini na hana cha msalia mtume na mafisadi. Mimi natoa rai yangu teuzi zote za Kikwete azibwage chini pwaaaaa. Hawa ndiyo waliotutesa watanzania na Tanzania na nchi ikashindwa kusogea mbele kimaendeleo. Ni wale wale waliomuandalia Kikwete safari za nje akawa anapokelewa na wakuu wa shule, wakuu wa NGO's eti kwa kigezo kuwa safari zake zina tija kwa taifa. Baada ya kupiga hatua kwenda mbele, tukajikuta tunapiga hatua kwenda nyuma. Guess who's next?

Jipu lingine lilolowiva ni hili la Bumbuli na ni suala la muda tu. Ombeni na wachina, Bumbuli na waitaliano... litapasuka tu. Tunaomba pia atutumbulie Tegeta escrow Account...atupasulie walioficha noti zetu uswisi na kwingineko.
Maskini Ombeni Sefue atakimbilia wapi...? Atakuwa mgeni na mwenyeji wa nani? Kwa kasi hii ya hapa ni kazi tu, ndani ya miezi 18 atakuwa amemaliza nusu ya majipu yote. Hadi 2020 Bongoland itakuwa sehemu inayoheshimika. Jamaa anatisha...!
mbona huyo unaemsema hakusema hayo, yeye amemsifia sefue kwa kazi nzuri alizozifanya na amehaidi kumpa kazi nyingine na kusisitiza kwamba,ahadi zake ni za kweli sasa huo ubaya wa Sefue wewe umeupata wapi? kweli kujipendekeza ni hatari
 
Mkuu funza ninaomba nipe hilo jina kwa private isikute hili changudoa lilivunja ndoa ndilo tunalo katika taasisi yetu. Nitakupa full mkanda uudondoshe hapa. Ni aibu kubwa sana. Please, come to PM. Tutawatumbua mwaka huu.
Kwani bila jina lake hiyo story haiandikiki? Si uiandika na kumtumia huko PM!!
 
Hiki ni mojawapo ya kilichomponza Sefue alivunja ndoa ya kijana mmoja wa kigogo akamchukua huyo Mke akampangishia Nyumba Masaki na kumpa Ajila kubwa kwenye kampuni ya Gesi na mafuta , hivyo mme wa huyo Mke alikwenda kulalamika live Kwa Magufuli akatoa ushahidi wa jinsi walivyoanza mahusiano pindi walipokutana na Sefue Uswiz wakati alipoenda kusoma huko na Sefue alikuwa huko kikazi , pia kuna Madili mengi kapiga 10% akiwa hapo ikulu na baya zaidi amekuwa akitoa Siri zote za ikulu Kwa Kikwete hivyo ndivyo vimemponza zaidi .
Aisee kumbe lilikuwa likwapuaji wake za watu, na limbea kwa mkele
 
Mchepuko wake umesikitika sana maana nyumba aliyompangia Masaki Kodi yake ni kubwa Sasa anapanga kwenda Mbezi beach kuomba msamaha warudiane na mme wake anaona Sefue hana mamlaka tena wala pesa za kuendelea kumgharamia.
Halfu we funza hilo jina umelipataje bila mie kukupa hatimiliki??
 
Nikweli anatumbua lakini ni vijipu vidogo. Majipu makubwa kama mkurugenzi (uchaguzi wa meya wa jiji ),Jecha, uchaguzi Zanzibar, Mzee wa Malofa, Mzee wa Maisha bora kwa kila mtz, mzee wa vijisenti, kijana wa sembe, mama wa ml 10 ni hela ya mboga n.k
Hapo kidooogoo nitaanza na kuwa na imani. Lkn hivihivi hata twiga mmoja hajarudishwa halafu nianze kusifia? thubutuuuuu!!!!

KWANI WEWE NANI? WANASIFIA MAMILIONI NDANI NA NJE SEUZE WEWE!????? MPAKA KINYAAA
 
Dhana ya hapa kazi tu sasa inageuka kuwa hapa ni fitina, majungu na kulipizana visasi ,mpaka mwaka unaisha tutashuhudia mengi

majipu yataota kama uyoga kila kukicha
watafukuzwa wangapi..?
Wewe nawe ni jipu tena jipu uchungu
 
....napata picha huko tunakoenda lazima JPM atashughulika na escrow crooks....maana kwa namna moja ama nyingine wameshiriki mkukwapua hela tele BoT....jambo ambalo hata yeye JPM limemgharimu.... maana ameingia ikulu kakuta hata mishahara serikali wanashindwa kulipa....Katika ufisadi uliowahi kuwahusisha moja kwamoja vigogo wa serikali ni issue ya escrow....na sidhani kama JPM ataliacha hivi hivi hili....Ni wakati sasa aanze na escrow crooks....asiwaangalie usoni....hapo tutamwelewa....maana hadi sasa bado naona wanaoshughulikiwa ni wa chini....Tunataka tumwone kigogo wa serikali akinyea debe kama kina Mrama na Yona...
 
Lilikuwa jipu lililolelewa na kulewa madaraka. Limeachwa, likaiva na limetumbuliwa muda muafaka. Kuna Jemadari mmoja wa singida mashariki alisema kuwa " tabia za zamani hazifi haraka". Alitaka kufanya kama alivyokuwa anafanya utawala wa Kikwete, akasahau kuwa utawala wa "Maisha bora kwa kila mtanzania" haukuwa na tija kwa wabongo wengi. Sababu jamaa aliingizwa magogoni kwa mabunda ya noti za mafisadi, huyu tulienaye ameingia kwa machozi ya maskini wengi wa vijijini. Hayo aliyoyafanya ameyafanya sana kwenye utawala wa Kikwete.
Alitaka kumzunguka bosi wake akasahau kuwa jamaa alishasema ameamua kuwa " kondoo wa kafara" kwa watanzania. Anayecheza na huyu bwana mara mia akacheze na wajinga wa ukoo wake. Magu hazungukwi tumuombee awa na maisha marefu ili aendelee kutumbua majipu sawa sawa.

Mkuu wa kaya huyu hana utani na mzembe, hana mzaha na wanajirimbikizia mali kwa jasho la watanzania maskini na hana cha msalia mtume na mafisadi. Mimi natoa rai yangu teuzi zote za Kikwete azibwage chini pwaaaaa. Hawa ndiyo waliotutesa watanzania na Tanzania na nchi ikashindwa kusogea mbele kimaendeleo. Ni wale wale waliomuandalia Kikwete safari za nje akawa anapokelewa na wakuu wa shule, wakuu wa NGO's eti kwa kigezo kuwa safari zake zina tija kwa taifa. Baada ya kupiga hatua kwenda mbele, tukajikuta tunapiga hatua kwenda nyuma. Guess who's next?

Jipu lingine lilolowiva ni hili la Bumbuli na ni suala la muda tu. Ombeni na wachina, Bumbuli na waitaliano... litapasuka tu. Tunaomba pia atutumbulie Tegeta escrow Account...atupasulie walioficha noti zetu uswisi na kwingineko.
Maskini Ombeni Sefue atakimbilia wapi...? Atakuwa mgeni na mwenyeji wa nani? Kwa kasi hii ya hapa ni kazi tu, ndani ya miezi 18 atakuwa amemaliza nusu ya majipu yote. Hadi 2020 Bongoland itakuwa sehemu inayoheshimika. Jamaa anatisha...!
Atatumbua Majipu yoote lakini JIPU la January Makamba ni Gumu Kama kivuko kibovu cha bilion 8 na escrow , Kwa Sasa January Makamba ameleta zaidi ya waganga wa kienyeji 230 tokea mataifa mbalimbali tokea juzi anakesha nao akifanya yake Kwa mujibu wa Ndugu zake , wanasema ni rahisi Kwa Magufuli kujiuzulu Urais kuliko January kujiuzulu au kufukuzwa .
 
Huko kote anahaha wajanja wanamlia pesa Kama mzige kila anayejitokeza na nia ya kumsaidia anakula pesa mpaka Sasa katuma Mamilion kutuliza soo amepanga kuwanunua wote watakaotumwa kumchunguza ili aje na reports ya kumsafisha hata huyo mzungu inasemekana kapewa Pesa tayari anajipanga jinsi ya kukanusha ili awasafishe , ni mda wa pesa zake kuliwa na wajanja .
 
....napata picha huko tunakoenda lazima JPM atashughulika na escrow crooks....maana kwa namna moja ama nyingine wameshiriki mkukwapua hela tele BoT....jambo ambalo hata yeye JPM limemgharimu.... maana ameingia ikulu kakuta hata mishahara serikali wanashindwa kulipa....Katika ufisadi uliowahi kuwahusisha moja kwamoja vigogo wa serikali ni issue ya escrow....na sidhani kama JPM ataliacha hivi hivi hili....Ni wakati sasa aanze na escrow crooks....asiwaangalie usoni....hapo tutamwelewa....maana hadi sasa bado naona wanaoshughulikiwa ni wa chini....Tunataka tumwone kigogo wa serikali akinyea debe kama kina Mrama na Yona...
Kuna kigogo wa TRA kule Temeke Anaitwa Gasper Mhina ni Tajiri kuliko masamaki lakini Magufuli kamgwaya sembuse wa escrow ?
 
Back
Top Bottom