Kikwete alikuwa akipewa taarifa zote kana kwamba bado yupo madarakani ndiyo maana kila siku akawa anakimbilia ikulu kutuliza soo zote ambazo alitonywa na Sefue .Aisee kumbe lilikuwa likwapuaji wake za watu, na limbea kwa mkele

..hizi double standards kwenye maamuzi ya JPM ndio tunazokataa na kuhoji....ifike mahali rais awe na fair play kwenye maamuzi yake....asiachwe mtu kabisa kama ni jipu....yaani kusiwe na utumbuaji majipu ambao ni selective...Kuna kigogo wa TRA kule Temeke Anaitwa Gasper Mhina ni Tajiri kuliko masamaki lakini Magufuli kamgwaya sembuse wa escrow ?
Wakuu, Mimi nipo taasisi Fulani nyeti sana, Kosa kubwa la Ombeni Sefue ni Kutoa Siri za Ikulu na za Bwana Mkubwa kwa Kikwete, hajui au hakumbuki kwamba wapo wanaosikiliza na kufuatilia mawasiliano...hivyo alisikika akitoa siri za bwana mkubwa na Ikulu kwa mstaafu.
..hizi double standards kwenye maamuzi ya JPM ndio tunazokataa na kuhoji....ifike mahali rais awe na fair play kwenye maamuzi yake....asiachwe mtu kabisa kama ni jipu....yaani kusiwe na utumbuaji majipu ambao ni selective...
wewe ungeolewa na malaria sugu mngezaa ROBOT la ISISUongo mtupu.