Rais Samia amteua Balozi Ombeni Sefue kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
18,776
13,171
Ndugu zangu Watanzania,

Nawasogezeeeni taratiibuu habari na taarifa hii kuwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.

Amemteua Mheshimiwa Balozi Ombeni Sefue kuwa mjumbe wa Tume ya Mipango. Ambapo lengo la Tume hii ni kusimamia Uchumi, Mchakato wa upangaji na utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya Taifa .

Mheshimiwa Balozi Ombeni Sefue amewahi pia kushikilia nafasi ya ukatibu Mkuu kiongozi wa Taifa letu katika serikali ya Awamu ya Nne chini ya uongozi wa Rais Daktari Jakaya Mrisho Kikwete.

Naweka kalamu yangu chini na kuishia hapa na wala sina nyongeza ya maneno.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu.
 
Tunaongeza tu ukubwa wa Serikali na running costs, Hao raia hapo wizara ya fedha wamejazana tu na degree zao wanafanya nini? Kama hawawezi kupanga mipango yenye kuleta matokeo wanafanya nini kazini,, timua ajiri watu smart?

Achievement za hao wajumbe kwenye kupanga mipango popote pale duniani na ikaleta matokeo chanya NI zipi?
Tuna vigezo gani critical vya kuchagua hao wajumbe na quarterly target yao ni nini?
 
"Watu ni lazima watambue matatizo yao kwa njia ya uhalisia. Ni lazima wawe na uwezo wa kuchambua matatizo yao na kuyapatia ufumbuzi wa pamoja. Kwa maneno mengine jamii inagawanyika kirahisi pale mtazamo wao wa kitu kimoja ni tofauti" ~ Steven Biko
 
Hiki ndio anacho weza zaidi kizimkazi kuteua na kutengua TU. Yuko tayri afanye mwaka mzima ikiwezekana hata miaka 5 yooote.KAZI ni kipimo cha UTU
Hakuna la maana anafanya na mbaya zaidi hakuna damu changa kuleta mawazo mapya zaidi ya hawa mababu ambao hawana jipya tena hapa duniani, katiba ya hovyo kabisa, 99% ya walioteuliwa ukiwauliza hata wanaenda kufanya nini kwenye hiyo tume hawajui
 
Tunaongeza tu ukubwa wa Serikali na running costs, Hao raia hapo wizara ya fedha wamejazana tu na degree zao wanafanya nini? Kama hawawezi kupanga mipango yenye kuleta matokeo wanafanya nini kazini,, timua ajiri watu smart?

Achievement za hao wajumbe kwenye kupanga mipango popote pale duniani na ikaleta matokeo chanya NI zipi?
Tuna vigezo gani critical vya kuchagua hao wajumbe na quarterly target yao ni nini?
Nafasi kama hizi yafaa zitangazwe watu waombe waeleze mipango yao badala ya huu uchawa pekee
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nawasogezeeeni taratiibuu habari na taarifa hii kuwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.

Amemteua Mheshimiwa Balozi Ombeni Sefue kuwa mjumbe wa Tume ya Mipango. Ambapo lengo la Tume hii ni kusimamia Uchumi, Mchakato wa upangaji na utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya Taifa .

Mheshimiwa Balozi Ombeni Sefue amewahi pia kushikilia nafasi ya ukatibu Mkuu kiongozi wa Taifa letu katika serikali ya Awamu ya Nne chini ya uongozi wa Rais Daktari Jakaya Mrisho Kikwete.

Naweka kalamu yangu chini na kuishia hapa na wala sina nyongeza ya maneno.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu.
HIVI HAWAA WANAOSOMA WANAGRADUATE WANATEULIWA LININSO SAD
 
Watanzania wabubujikwa na machozi kwa uteuzi wa kiongoi mzalendo wameomba bwana Lucas mkumbushe mama ampe nafasi CAG msataafu Assad
 
Back
Top Bottom