Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 21,219
- 36,212
Habari zenyuu,
Nimeikuta hii picha mahali..
Nikabaki nashangaa, hivi kumbe kuwa best student ni dili eehh.... nilichojiuliza tuu huyu student ataweza kuhimili gharama za kuendesha hii gari?
Halafu hapo wameonesha best student kuanzia nafasi ya kwanza hadi ya 10...(top ten students) sasa huyu wa IST sijui ndo wa kwanza au wa kumi au wa tano.... au hii ni ya wanafunzi wote kumi?
Na kama huyu ndo wa kumi je wa kwanza alipewa zawadi gani?
Habari na picha...
Kasinde.