Kumbe BAZAZI maana yake ni............

Kumbe BAZAZI maana yake ni............

mimi atakae ni pm wa jinsia tofauti na mimi naahidi kumtoa out weekend ijayo.
 
Kuna swali la nyongeza ndugu Excel hili neno bazazi ni kwa kila jinsi au linatumika kwa wanaume tu?
 
Last edited by a moderator:
Kuna swali la nyongeza ndugu Excel hili neno bazazi ni kwa kila jinsi au linatumika kwa wanaume tu?

Japo sio mie uliyeniuliza ila najua ni kwa men tu maana sijaona team bazaz ya wadada
 
Last edited by a moderator:
Unataka kujua jinsia?? Muulize babu Asprin huwa anajuaga

Jirani umeniita au wambea wamenidanganya? hebu njoo hapa Brazil bar opposite na Kibo complex nikuambie kitu changu.

Afu na ujanja wote unataka kunambia hujamstukia mwanzisha thread ni nani? Mwambie akuambie ID yake nyingine ushangae na roho yako
 
Last edited by a moderator:
Hahaa umenikumbusha Asprin mkaguzi mkuu.

Hivi unajua bado sijamalizia kukukagua? Hebu twende wozap kwanza tukapeane videti. Haka kamvua katanisaidia sana kwenye ukaguzi wa ndani.
 
Last edited by a moderator:
Jirani umeniita au wambea wamenidanganya? hebu njoo hapa Brazil bar opposite na Kibo complex nikuambie kitu changu.

Afu na ujanja wote unataka kunambia hujamstukia mwanzisha thread ni nani? Mwambie akuambie ID yake nyingine ushangae na roho yako

Asprin ukaguzi unaufanyia wapi........?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom