The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 34,404
- 103,846
Wewe mchicha mwiba huna mamlaka ya kuwapangia watu humu waanzisha mada gani au wasianzishe mada gani,kama umezowea kumpangia mumeo cha kufanya,usifikiri utawapangia watu wote kiazi wewe.Wewe Kima usichukie kuitwa Asha Ngedere. Hili jina linakufaa kwa 100%, kutokana na tabia yako ya kutukana watu hovyo humu jukwaani huku ukiwa huna sababu za msingi.
Kwa kweli Uislamu Umepata mtu wa maana sana. Mola amjalie mema.... Nimefurahi sana kufahamu Aziz Ki ni Muislam. Tuendelee.kumpambania....Nimemuona ktk video moja akiwa msikitini siku ya ijumaa. Allah amjaalie adumu ktk ibada.
Waliokaribu nae wamshsuri asikubali tena kumvisha jezi yule dada siku ya Yanga Day.
Dini yetu inakataza mambo yale hasa zaidi hadhara ktk jamii
kwamba upande wapili wao hawajachukua kutoka hapo middle east? Na kuna muda wanaona yakishamba wanachukua yaliyofasriwa kizungu mkuu.Wenzetu walichukua dini na utamaduni.
Muone huyu kima! Lini nimekupangia mada ya kuanzisha humu jukwaani, au ni lini uliona nimechangia mada yako au kuku quote, wakati nikitambua fika wewe ni Asha Ngedere?Wewe mchicha mwiba huna mamlaka ya kuwapangia watu humu waanzisha mada gani au wasianzishe mada gani,kama umezowea kumpangia mumeo cha kufanya,usifikiri utawapangia watu wote kiazi wewe.
Kwani hii mada umeanzisha wewe mke wa kamanda wa Hamas? Kwa nini unawashwa washwa na kunitukana?Toka mwanzo nilikwambia kua wewe kafiri chuki ya udini ndio iliyokufanya ukaona huu uzi hauna maana,usivyokua na akili unajiweka wazi wewe mwenyewe bila kujijua,
Anzisha mada yako inayohusu hao Hamas tutakuja kuchangia,hapa stick kwenye uzi husika.
Kumbe huna hata akili ya kukumbuka ulichokiandika humu? wewe ni nani upange kua hii mada haina maana na huu uzi haukutakiwa kuanzishwa coz umeona ni jambo la kawaida?Muone huyu kima! Lini nimekupangia mada ya kuanzisha humu jukwaani, au ni lini uliona nimechangia mada yako au kuku quote, wakati nikitambua fika wewe ni Asha Ngedere?
Wapi kwenye maelezo yangu nilimuambia mtoa mada hakutakiwa kuleta mada yake humu jukwaani? Halafu wewe ni nani yake mpaka unitukane?Safi kabisa,naona dawa imekuingia kunako,ngoja sasa nikubadilishie dozi,
Hakuna hoja uliyouliza zaidi ya kumpangia mleta mada kua hakutakiwa kuleta hii mada,una akili nyepesi sana isiyokumbuka ulichokisema mwanzo.
Wewe mke wa mtu kua na akili basi,ina maana matusi yako kwangu huyaoni sio?Kwani hii mada umeanzisha wewe mke wa kamanda wa Hamas? Kwa nini unawashwa washwa na kunitukana?
Nimekwambia hivi,acha kuplay as a victim,matusi yako dhidi yangu umesha yasahau sio?Wapi kwenye maelezo yangu nilimuambia mtoa mada hakutakiwa kuleta mada yake humu jukwaani? Halafu wewe ni nani yake mpaka unitukane?
Huyo jamaa mabwana zake wa kiarabu wakiguswa lazima povu limtokeWewe Kima usichukie kuitwa Asha Ngedere. Hili jina linakufaa kwa 100%, kutokana na tabia yako ya kutukana watu hovyo humu jukwaani huku ukiwa huna sababu za msingi.
What is so special kwa Aziz Kii kuwa Muislam? Mbona kuna wachezaji wengi Waislam duniani kote na hakuna anayejali!!
Halafu nilitaka pia kufahamu kama dini yenu inaruhusu watu kucheza/kuangalia mpira, badala ya kutumia muda wao mwingi kumswalia Mtume kama wafanyavyo ndugu zenu Wataliban.
Aisee! Ndiyo maana.Huyo jamaa mabwana zake wa kiarabu wakiguswa lazima povu limtoke
Umesoma uzi au umekurupuka tu? huu uzi umetaja kabila yeyote hapa?Huyo jamaa mabwana zake wa kiarabu wakiguswa lazima povu limtoke
Naona umekazania jina la ngedere alilopewa mamako kitaani kwa tabia zake.Haya ni maswali na maoni yangu niliyoyatoa kwa mtoa mada! Wapi nimekutukana
wewe Asha Ngedere? Na wapi nimesema mtu asichangie kwenye huu uzi kupitia hayo maswali yangu hapo juu?
Ahueni sasa umekubali kumbe wewe ni Asha Ngedere, binti anayependa shari na watu huku akiwa hana sababu za msingi. Usingeni quote kirahisi tu hivi na kuendeleza matusi yako.Naona umekazania jina la ngedere alilopewa mamako kitaani kwa tabia zake.
Siku hizi kuna mwryam, kumbe mkatoliki pure. Siku hizi majina yanaigwa
Acha kutia huruma hapa,nakubadilishia dozi mpaka akili ikukae sawa,si ulijitapa kua unataka kutukana watu hapa,mbona umeanza kutia huruma mapema sana? mpaka uache uchoko na urudi kwenye mstari kichwa panzi wewe.Ahueni sasa umekubali kumbe wewe ni Asha Ngedere, binti anayependa shari na watu huku akiwa hana sababu za msingi. Usingeni quote kirahisi tu hivi na kuendeleza matusi yako.
Wewe kubali tu hili jina la Asha Ngedere, mke wa kamanda wa Hamas uliyemuweka kwenye avatar yako. Maana unaendana nalo. Ungekuwa siyo Asha Ngedere usingetukana watu hovyo humu jukwaani.Acha kutia huruma hapa,nakubadilishia dozi mpaka akili ikukae sawa,si ulijitapa kua unataka kutukana watu hapa,mbona umeanza kutia huruma mapema sana? mpaka uache uchoko na urudi kwenye mstari kichwa panzi wewe.
Majina ya kiislam huyajuiMajina ya kiislam ni yapi? Na ni majina ya kiislam au ya kiarabu? Ni kosa muislam wa Mpimbwe kuitwa jina lake la asili badala ya watu anaowaabudu?
Mkuu majina unayoyalenga yatakua ya middle east mkuu,Majina ya kiislam huyajui