CCM ndiyo wa kulaumiwa kwa hili janga.Aiseee hii ni aibu sasa naelewa kwanini Kisiwani hapajawahi kuwa hata kwenye elfu 1 bora ya matokeo ya Necta ama Nacte[emoji23]
Baada ya kupost leo kwenye page zake anafungia comments na kublock watu, pia anafuta comments mbaya
Mtu aliyeshinda kwa asilimia 98 lakini akaenda kuapishiwa kambi ya jeshi
Mtu pekee anayeitwa Dr aliyepata D moja form 4 ya somo la kiswahili na masomo mengine akafeli kwa kupata F na viastashahada vya kuungaunga vya huko Pakistan na Dubei
Kweli tuna bahati mbaya sana, kwamba tunafanya vizuri kuliko chumi za Marekani na Ulaya
Nacheka ila tuna hasara kubwa sana.
Kwahiyo Rais Samuya naye ana block watu huko Mtandaoni? Inachekesha na kusikitisha pia. 😂😂😂😂Aiseee hii ni aibu sasa naelewa kwanini Kisiwani hapajawahi kuwa hata kwenye elfu 1 bora ya matokeo ya Necta ama Nacte[emoji23]
Baada ya kupost leo kwenye page zake anafungia comments na kublock watu, pia anafuta comments mbaya
Mtu aliyeshinda kwa asilimia 98 lakini akaenda kuapishiwa kambi ya jeshi
Mtu pekee anayeitwa Dr aliyepata D moja form 4 ya somo la kiswahili na masomo mengine akafeli kwa kupata F na viastashahada vya kuungaunga vya huko Pakistan na Dubei
Kweli tuna bahati mbaya sana, kwamba tunafanya vizuri kuliko chumi za Marekani na Ulaya
Nacheka ila tuna hasara kubwa sana.
Umeandika mipasho.Mwenzako Rais wewe ukiwa huna uhakika wa mlo wa siku 10 mfululizo, unaishia Kwenye Chumba kimoja jiko, sebulo, na kitanda kipo hapo hapo na Chumba kimejaa madumu ya maji na hukunikifika asubuhi umeshawema ndoo ya maji Chini ya mlango wa Choo ukipanga foleni
Sasa niambie Division 1 yako. Ya A Saba. Imekusaidia nini? Wakayi mwenzako hata akimaliza muda wake basi Hana shida. .Au ndiyo unasubiri kuja kumpindua Dec 9 Amiri jeshi mkuu akuwa Malaya wenu wa USA na akisaidiwa na Yule wa Nairobi?
Pathetic life!
Hoja dhaifu sana, eti ukipata A plus kwa elimu yetu hii ya kukariri unaonekana una akili! Yaani utafikiri huko vyuoni kama hujapita utaona kuna la maana kumbe hamna kitu!Kweli tuna bahati mbaya sana
Hilo nakuahidi Samia is here to stay mpaka 2030. Wewe endelea kujitoa fahamu. Pambana na dhiki zako.. walaumu Baba zako Kwa Sababu wewe ni masikini na unalala Kwenye nyumba ya kupanga tandale!Huo urais upo wapi. Huoni tayari ni 'candidate' wa kunyea debe miaka yake yote ya maisha iliyobakia?
Sasa kama ni hiyo sifa yake ya kuwa na elimu mbovu imechangia kumfikisha hapa alipofikia, kuna kipi tena cha kujivunia maishani mwake kote?
Nahisi kama wewe. Nina uhakika elimu niliyokuwa nayo hawezi kuifikia. Pambana na Hali yakoUmeandika mipasho.
Ni wazi kabisa mada iko nje ya uelewa wako..
Busara: Soma tu na kupita kimya.
We una maisha yapi sasa[emoji23]Mwenzako Rais wewe ukiwa huna uhakika wa mlo wa siku 10 mfululizo, unaishia Kwenye Chumba kimoja jiko, sebulo, na kitanda kipo hapo hapo na Chumba kimejaa madumu ya maji na hukunikifika asubuhi umeshawema ndoo ya maji Chini ya mlango wa Choo ukipanga foleni
Sasa niambie Division 1 yako. Ya A Saba. Imekusaidia nini? Wakayi mwenzako hata akimaliza muda wake basi Hana shida. .Au ndiyo unasubiri kuja kumpindua Dec 9 Amiri jeshi mkuu akuwa Malaya wenu wa USA na akisaidiwa na Yule wa Nairobi?
Pathetic life!
Taarifa ni wewe naona. Umesharudi kanisani Kwanza!Maandishi mengi ila umeandika pumba tupu..kua na pesa au kua raisi akufuti umbumbumbu wa mtu , huyo mama ni tahira kama ulivyo wewe masikini wa akili..nguruwe hata umvalishe kanzu na umpakize kwenye v8 bado atabaki kuwa nguruwe tu...Vivyo hivyo mtu mbumbumbu na mjinga hata amiliki Dunia na vyote vilivyomo umbumbumbu wake utadhihirika tu , kama ilivyo kwako na huyo mama yako tahira
SALAMA LEKO!Mwenzako Rais wewe ukiwa huna uhakika wa mlo wa siku 10 mfululizo, unaishia Kwenye Chumba kimoja jiko, sebulo, na kitanda kipo hapo hapo na Chumba kimejaa madumu ya maji na hukunikifika asubuhi umeshawema ndoo ya maji Chini ya mlango wa Choo ukipanga foleni
Sasa niambie Division 1 yako. Ya A Saba. Imekusaidia nini? Wakayi mwenzako hata akimaliza muda wake basi Hana shida. .Au ndiyo unasubiri kuja kumpindua Dec 9 Amiri jeshi mkuu akuwa Malaya wenu wa USA na akisaidiwa na Yule wa Nairobi?
Pathetic life!
Rudi shule jifundishe kuandika Kwanza!SALAMA LEKO!
SALAMA LEKO!Rudi shule jifundishe kuandika Kwanza!
Wewe unaonaje?Na unaamini kabisa kwa dhati ya moyo wako, kwamba matokeo hayo ni ya "kupangwa", na unataka nasi tujue na tuelewe kuwa ni "matokeo ya kupangwa" kwa vile ni wewe umesema hivyo!