PostGE2025 Kumbe alifeli form 4, Kiswahili tu ndio alipata D

PostGE2025 Kumbe alifeli form 4, Kiswahili tu ndio alipata D

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Aiseee hii ni aibu sasa naelewa kwanini Kisiwani hapajawahi kuwa hata kwenye elfu 1 bora ya matokeo ya Necta ama Nacte[emoji23]

Baada ya kupost leo kwenye page zake anafungia comments na kublock watu, pia anafuta comments mbaya

Mtu aliyeshinda kwa asilimia 98 lakini akaenda kuapishiwa kambi ya jeshi

Mtu pekee anayeitwa Dr aliyepata D moja form 4 ya somo la kiswahili na masomo mengine akafeli kwa kupata F na viastashahada vya kuungaunga vya huko Pakistan na Dubei

Kweli tuna bahati mbaya sana, kwamba tunafanya vizuri kuliko chumi za Marekani na Ulaya

Nacheka ila tuna hasara kubwa sana.
Siamini kama nimeungana na jihadist kumpinga nduli mama
 
Mwenzako Rais wewe ukiwa huna uhakika wa mlo wa siku 10 mfululizo, unaishia Kwenye Chumba kimoja jiko, sebulo, na kitanda kipo hapo hapo na Chumba kimejaa madumu ya maji na hukunikifika asubuhi umeshawema ndoo ya maji Chini ya mlango wa Choo ukipanga foleni
Sasa niambie Division 1 yako. Ya A Saba. Imekusaidia nini? Wakayi mwenzako hata akimaliza muda wake basi Hana shida. .Au ndiyo unasubiri kuja kumpindua Dec 9 Amiri jeshi mkuu akuwa Malaya wenu wa USA na akisaidiwa na Yule wa Nairobi?
Pathetic life!
😂😂😂😂
So Rais ana D moja, hahahahah
 
Haya yote hayatawasaidia, Samia Suluhu Hassan kisha waharibia mipango yenu yote. Kuanzia hapa kwenda mbele hesabuni maomivu tu kwenu.
Rais anayeharibu mipango ya wananchi wake......Mipango gani wewe fala? Badala ya kushughulika na mambo yenye tija? Yeye yupo kuharibu mipango ya watu, huku mafisadi wenzake wakiiba kwa kwenda mbele. You need to be ashamed of yourself.
 
Rais anayeharibu mipango ya wananchi wake......Mipango gani wewe fala? Badala ya kushughulika na mambo yenye tija? Yeye yupo kuharibu mipango ya watu, huku mafisadi wenzake wakiiba kwa kwenda mbele. You need to be ashamed of yourself.
Wewe huna akili timamu inayoweza kukufanya uelewe kilicho andikwa. Unasoma lakini hujui umesoma nini!

Halafu unabwatuka tu na kuandika takataka.
 
Daktari et[emoji23]
Kwangu mie naheshiku daktari aliyepata Div One walau point 12 kwenda juu form four na Div One walau point 8 - A level.. huyu ana akili za kuzaliwa.

Hawa wengine ni waunga vyeti tu kama mimi - IQ hamna bichwa zito.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom