PostGE2025 Kumbe alifeli form 4, Kiswahili tu ndio alipata D

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Aiseee hii ni aibu sasa naelewa kwanini Kisiwani hapajawahi kuwa hata kwenye elfu 1 bora ya matokeo ya Necta ama Nacte[emoji23]

Baada ya kupost leo kwenye page zake anafungia comments na kublock watu, pia anafuta comments mbaya

Mtu aliyeshinda kwa asilimia 98 lakini akaenda kuapishiwa kambi ya jeshi

Mtu pekee anayeitwa Dr aliyepata D moja form 4 ya somo la kiswahili na masomo mengine akafeli kwa kupata F na viastashahada vya kuungaunga vya huko Pakistan na Dubei

Kweli tuna bahati mbaya sana, kwamba tunafanya vizuri kuliko chumi za Marekani na Ulaya

Nacheka ila tuna hasara kubwa sana.
Duuh D" moja na mwanawe sasa ni naibu waziri wa Elimu (wanaita ILIM" kule kwenye Madrasa)? Kapasi Kiswahili, mbona hata Kiswahili naona kama anakibofoa, Nywinywii na Nywinywi. Hilo halipo kwenye kamusi ya Kiswahili.
Unaenda kusoma Dubai? kusoma nini huko? Pakistan, alienda kusomea kujifunga mabomu huyu bi Chupaki.
Eti Doctor, Huyu anayeleta waganga wa kienyeji bungeni.....need to be ashamed of herself, amepewa cheo kikubwa sana, angepaswa awe balozi wa nyumba kumi-kumi.
 
Wewe nakuona ni mwerevu, mwenye akili, kwa unavyojidanganya! Wewe ni mpumbavu, huna akili; ni mjinga huna unaliojua, halafu unakuja hapa kuonesha ujinga na upumbavu wako. Unajidanganya. Karibu sana. Isijekuwa umepotea njia!
EEEeeeenHEEEEeeeeHEEeeee!
Wewe nakuona ni mwerevu, mwenye akili
Mimi nimekuelewa kwa haya; sasa hayo mengine yametoka wapi tena?
 
Sikiliza wewe fala, nakuambia tena . Unaumia Sana na kila ukibana makalio ndiyo maumivu yanakuqa makali... Tumia mate
Haya yote hayatawasaidia, Samia Suluhu Hassan kisha waharibia mipango yenu yote. Kuanzia hapa kwenda mbele hesabuni maomivu tu kwenu.
 
Aiseee hii ni aibu sasa naelewa kwanini Kisiwani hapajawahi kuwa hata kwenye elfu 1 bora ya matokeo ya Necta ama Nacte[emoji23]

Baada ya kupost leo kwenye page zake anafungia comments na kublock watu, pia anafuta comments mbaya

Mtu aliyeshinda kwa asilimia 98 lakini akaenda kuapishiwa kambi ya jeshi

Mtu pekee anayeitwa Dr aliyepata D moja form 4 ya somo la kiswahili na masomo mengine akafeli kwa kupata F na viastashahada vya kuungaunga vya huko Pakistan na Dubei

Kweli tuna bahati mbaya sana, kwamba tunafanya vizuri kuliko chumi za Marekani na Ulaya

Nacheka ila tuna hasara kubwa sana.

Hasara itazidi kukua iwapo mtamuacha aendelee kukalia kiti kiharamu!
 
Haya yote hayatawasaidia, Samia Suluhu Hassan kisha waharibia mipango yenu yote. Kuanzia hapa kwenda mbele hesabuni maomivu tu kwenu.
Haya maumivu wataendelea kuyapata iwapo watashindwa kumuwajibisha!
 
Hakuna tena CCM ya kumwajibisha huyo shetani. Kilicho baki ni hicho chama (jina) kuiacha ife ili Tanzania ipate kupona. Kuendelea kuwepo kwa CCM ambayo tayari inavyo virusi hatarishi sana ndani yake ni kuendelea kuiumiza Tanzania.
 
Huwa nikifikiria naishia kumlaumu sana Mwenda zake (Mungu Anisamehe kwa hili) nahisi kama yeye ndio root causer wa haya yote kwa kutuletea hili Janga ambalo hata mtoto mdogo tu angeweza ku notice na kulikataa mapema, Dah....

Kwa kweli tuna safari ndefu sana nchi yangu Tanzania 😢😢.
Root cause ni Kikwete na mtamdao wake. Hata Magu walimzunguka, mtandao wapo CCm mpaka upinzani, Zitto, Mbowe wote hawa ni mtandao.
 
Haya yote hayatawasaidia, Samia Suluhu Hassan kisha waharibia mipango yenu yote. Kuanzia hapa kwenda mbele hesabuni maomivu tu kwenu.
Naona kama.maomivu yako Kwenu. Ndiyo mnazidi kutumia kila Leo. Ikimalizika Dec 9 mtadundwa na mataenda kulia kulia Kwa mabwana zenu then mtawabia mange Tarehe nyengine lakini mwisho wa siku nitakuwa na maumivu ya Samia kuwa Rais. Mlisema mwanzo uchaguK hautofanyika umefanyia, mkasema , mkasema nchi haitomalika maandamano mkapigwa mkaabza kulia njaa, mkasema hatoapishwa ameshaapishwa na ameshachagua BARAZA na mawaziri na watendaji wengi, sasa tusubiri Dec 9.. ndiyo siku hiyo mtajua.kama hamujui na vichwani menu mna usaha
 
Aiseee hii ni aibu sasa naelewa kwanini Kisiwani hapajawahi kuwa hata kwenye elfu 1 bora ya matokeo ya Necta ama Nacte[emoji23]

Baada ya kupost leo kwenye page zake anafungia comments na kublock watu, pia anafuta comments mbaya

Mtu aliyeshinda kwa asilimia 98 lakini akaenda kuapishiwa kambi ya jeshi

Mtu pekee anayeitwa Dr aliyepata D moja form 4 ya somo la kiswahili na masomo mengine akafeli kwa kupata F na viastashahada vya kuungaunga vya huko Pakistan na Dubei

Kweli tuna bahati mbaya sana, kwamba tunafanya vizuri kuliko chumi za Marekani na Ulaya

Nacheka ila tuna hasara kubwa sana.
Nanukuu... Nilimaliza kidato cha 4 lakini sikufanya vizuri...!!!
 
Hakuna tena CCM ya kumwajibisha huyo shetani. Kilicho baki ni hicho chama (jina) kuiacha ife ili Tanzania ipate kupona. Kuendelea kuwepo kwa CCM ambayo tayari inavyo virusi hatarishi sana ndani yake ni kuendelea kuiumiza Tanzania.

Sawa kabisa sasa wakina "TRAORE" wetu wako wapi? Wanangoja mpaka hawa wahuni watumalize ndio wazinduke?
 
Aiseee hii ni aibu sasa naelewa kwanini Kisiwani hapajawahi kuwa hata kwenye elfu 1 bora ya matokeo ya Necta ama Nacte[emoji23]

Baada ya kupost leo kwenye page zake anafungia comments na kublock watu, pia anafuta comments mbaya

Mtu aliyeshinda kwa asilimia 98 lakini akaenda kuapishiwa kambi ya jeshi

Mtu pekee anayeitwa Dr aliyepata D moja form 4 ya somo la kiswahili na masomo mengine akafeli kwa kupata F na viastashahada vya kuungaunga vya huko Pakistan na Dubei

Kweli tuna bahati mbaya sana, kwamba tunafanya vizuri kuliko chumi za Marekani na Ulaya

Nacheka ila tuna hasara kubwa sana.
Small minds discuss people but big minds discuss ideas...mkuu ww ubongo wako ni zero ..lete ideas achana na watu
 
Mlisema mwanzo uchaguK hautofanyika umefanyia,
Ninapojibishana na mtu, halafu nikute mtu huyo ni nguruwe tu kama unavyoonyesha hapa namdharau na kumpuuza huyo nguruwe.
Kama wewe unaona kuna uchaguzi ulio fanyika Oktoba 29, huna tofauti yoyote na nguruwe.

Siwezi kupteza muda wangu na nguruwe.
 
Hahahaha naona Povu Jingi sana.. pole sana uchaguI umeisha na Raisi ameshaapishwa. Cha kushangaza CHADOMO hamkushiri uchaguI na vyama 17 vilivyoshiriki Katika uchaguzi wa raiai havijalalamika.. lakini nyinyi ngedere mna mdomo mirefu.. sasa subiri mumpeleke mama ICC.
 
Yeye akili zake ni sawasawa kabisa au pungufu ya zile za Paula wa Kajala mkewe Marioo.
Ambae hana chochote zaid ya Uzuri, kimsingi alifaa tu akae ndani kama mke wa mtu.
 
Kabisa
 
Duh kwahiyo tuaongozwa na FFFFFDF my poor country.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aliyesimama hapa ni amiri jeshi kutoka kizimkaze[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom