Kumamoto University inashikilia nafasi ya 19

Kumamoto University inashikilia nafasi ya 19

mleta mada ujifunze kupunguza ukali wa maneno na siku nyingine hilo jina uliite. k moto.
 


Kumamoto for international students.

>...."it is surrounded by beautiful nature".
>...."it is a beautiful place nice for living".
>...."I like the atmosphere of this place".
Hayo sio maneno yangu bali ni wanafunzi wa kumamoto.

Wanazidi kunihamasisha kuja kwenda kumamoto.
 
Ningesoma hapo cheti changu ningeomba waandike Kmoto maana ingeniaribia katka mambo yakutafuta kazi.
 
Mkuu GENTAMYCINE nitakujibu swali lako pindi tu nitakapopata prospectus yao.

Ina maana Mkuu mpaka sasa huna hiyo Prospectus ya KUMAMOTO University? Nasikia hiki Chuo cha KUMAMOTO kinashindana kwa ubora na Vyuo kama Havard na Oxford na inasemekana kwa sasa KUMAMOTO University kimekuwa ' moto ' kweli kweli kwa kutoa Wataalam mbalimbali. Nasikia pia hiki Chuo cha KUMAMOTO kina Watanzania kadhaa wanasoma huko na bila shaka hata na wao wakirudi Tanzania watakuwa wawakilishi wazuri tu wa KUMAMOTO University.
 
kule kwao jina zuri tu, huku kwetu tafsiri tatanishi haswaa. Ila ndio dunia ilivyo si laima tufanane... Sijui paper za KUMAMOTO UNIVERSITY nazo ni za moto au wanateleza tu...
 
Ni weekend nyingine njema, jumamosi murua kabisa iliyotulia ya tarehe kumi na moja mwezi wa pili ya mwaka 2017.

Ni matumaini yangu muu wazima wa afya wana jamii forum wenzangu.

Bila kupoteza muda wala kuwachosha leo hii katika pitapita zangu mtanandaoni nikapata nafasi ya kuperuzi website moja maarufu inayofahamika kwa jina la webometric ambapo niliweza kukuta ukurasa uliotoa listi ya vyuo bora kabisa nchini Japan.

University of Tokyo ndio ipo kileleni ambayo kidunia inashika nafasi ya 48, ikifuatiwa na Kyoto university(kudunia ni ya 82), na nafasi ya tatu inashikiliwa osaka university(ya 165 ulimwenguni).
Mpaka naimaliza kumi bora, sikuona kumamoto.

Kuja kufika ishirini bora ndio naikuta kumamoto university katika nafasi ya kumi na tisa ambayo imeshikilia nafasi ya 760 duniani.

Moja kati ya vyuo navyotamani kuja kusoma hapo baadaye ni kumamoto kwani kinatoa elimu bora ambayo hapa nchini Tanzania hakuna hata chuo kinachoikaribia ingawaje kimeshuka kutoka katika kumi bora na kushikia nafasi ya 19.


Kumamoto-1.jpg

Makumbusho kumamoto


C-Lecture-hall-3.jpg

Moja ya lecture hall kumamoto


map.jpg

Ramani (jengo namba 22) ikionyesha Uchimura laboratory iliyopo katika viunga vya kumamoto.


kumamoto1.png

Maisha kumamoto



Bofya HAPA ujionee mwenyewe Kumamoto.
mkuu umeandika katika hali ambayo imenishawishi kusoma hasa hapo ulipokuwa unazitaja hizo kumamoto.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hiyo ngoja wadau wa elimu nchini waje watatusaidia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hata wewe ni mdau wa elimu mkuu!
 
Mkuu hapo unapigiwa simu na bibi ako anakuuliza upo Chuo gani hakika Hapo Uongo Ni halali...
 
Papuchimoto university
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Back
Top Bottom