SNAP J
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 7,106
- 8,043
Ni weekend nyingine njema, jumamosi murua kabisa iliyotulia ya tarehe kumi na moja mwezi wa pili ya mwaka 2017.
Ni matumaini yangu muu wazima wa afya wana jamii forum wenzangu.
Bila kupoteza muda wala kuwachosha leo hii katika pitapita zangu mtanandaoni nikapata nafasi ya kuperuzi website moja maarufu inayofahamika kwa jina la webometric ambapo niliweza kukuta ukurasa uliotoa listi ya vyuo bora kabisa nchini Japan.
University of Tokyo ndio ipo kileleni ambayo kidunia inashika nafasi ya 48, ikifuatiwa na Kyoto university(kudunia ni ya 82), na nafasi ya tatu inashikiliwa osaka university(ya 165 ulimwenguni).
Mpaka naimaliza kumi bora, sikuona kumamoto.
Kuja kufika ishirini bora ndio naikuta kumamoto university katika nafasi ya kumi na tisa ambayo imeshikilia nafasi ya 760 duniani.
Moja kati ya vyuo navyotamani kuja kusoma hapo baadaye ni kumamoto kwani kinatoa elimu bora ambayo hapa nchini Tanzania hakuna hata chuo kinachoikaribia ingawaje kimeshuka kutoka katika kumi bora na kushikia nafasi ya 19.
Makumbusho kumamoto
Moja ya lecture hall kumamoto
Ramani (jengo namba 22) ikionyesha Uchimura laboratory iliyopo katika viunga vya kumamoto.
Maisha kumamoto
Bofya HAPA ujionee mwenyewe Kumamoto.