Kumamoto University inashikilia nafasi ya 19

Kumamoto University inashikilia nafasi ya 19

Tukiwapeleke wanawetu huko,tutaelezeaje jamii?[emoji12] [emoji12] [emoji3]
 
Kumamoto prefecture IPO kwenye kisiwa cha Kyushu na university yao nzuri sana Mimi nimesoma na nipo Yamaguchi
 
Wabongo kwakupenda K,!!!

Yaan comment nyingi lazima Neno Kumamoto litajwe. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kumamoto...
Mkuu umenikumbusha kombe la dunia mwaka 2002 iliyofanyika Japana/Korea

Alikuwepo mchezaji mmoja wa Uhalanzi anaitwa Mboo Mpenza basi kambi yao ya mazoezi ikawa wameweka pale mji wa Kumamoto.

Nakumbuka magazeti ya michezo hapa bongo yakiongozwa na gazeti la bingwa kesho yake kichwa cha habari ilikuwa
"MBOO NDANI YA KUMAMOTO"
 
Nikibahatika kwenda kuna siku nitaandaa public lecture niwafunze wa huko Kiswahili kidogo hasa majina ya viungo vya uzazi.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Najiuliza hapa sijui Nikipata scholarship
Nitawaambiaje wazazi wangu.
Sijui nitawaambia nasoma Kumamoto university....

itabidi nidanganye jina la chuo
 
Hivi Kama Bi. Mkubwa wako ndo anaishi Kijijini Na anakuuliza mwanangu hivi unasoma Chuo gani huko Japan, unamjibuje!?
 
Nia yako sio kutuambia ulinataka kusomea hapo ila ulitaka kutaja hilo jina mkuu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Najiuliza hapa sijui Nikipata scholarship
Nitawaambiaje wazazi wangu.
Sijui nitawaambia nasoma Kumamoto university....

itabidi nidanganye jina la chuo
Waziri wa nishati wa Zambia anaitwa Joseph chipumbu ..
 
Back
Top Bottom