Kumamoto University inashikilia nafasi ya 19

Kumamoto University inashikilia nafasi ya 19

Mtoa nyuz huna lolote kuna kitu tu kime kupush kuandika hii
 
Mhhh namashaka namtoa mada naalichotaka kutufikishia wanajukwaa
 
Mmmm Hilo jina la chuo.....

Ukhty hilo jina tu sema kwa lugha yetu ya kiswahili inakuwa na tafsiri nyengine,huko kwa wao ni tofauti kabisa.karibu na mji huo kuna mji mmoja unaitwa kanazawa wana university moja nzuri sana ya kusomea mambo ya criminology.Ukifanikiwa kukaa miaka yako 5 mkuu upo vizuri sana.
 
Wewe sema tu kuwa unataka kutumia hilo jina kumamoto na si vinginevyo!
Au ulikuwa unagoogle kumamoto ndo kikaja hicho chuo!!.
 
Ukhty hilo jina tu sema kwa lugha yetu ya kiswahili inakuwa na tafsiri nyengine,huko kwa wao ni tofauti kabisa.karibu na mji huo kuna mji mmoja unaitwa kanazawa wana university moja nzuri sana ya kusomea mambo ya criminology.Ukifanikiwa kukaa miaka yako 5 mkuu upo vizuri sana.
Shukrani mkuu. Umenirahisishia kazi kwa Maelezo yako yaliojitosheleza kabsa.
 
Mhh, kwa hili jina la Kumamoto University hapa kwetu Tanzania ukiulizwa umesoma chuo gani na wazazi wako sijui utawajibu au utaishia kumung'unya maneno. K wa kweli ni mtihani.
 
Back
Top Bottom