Mr IQ
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 799
- 752
Hahaha... aise JF inanipa rahaa sanaa.. Binafsi siupendiWewe hupendi Kumamoto city?
Hahaha... aise JF inanipa rahaa sanaa.. Binafsi siupendiWewe hupendi Kumamoto city?
Kula Ganja Kisha Beba Malaya Mnene Mwenye Surabaya, Tako Na Kumamoto.
Kula - Hawaii, USA
Ganja - Arzebaijan
Kisha - Russia
Beba - Hungary
Malaya - Malaysia
Mnene - Zimbabwe
Mwenye - Malawi
Tako - Japan
Surabaya - Indonesia
NA - North America
Kumamoto - Japan
Ushawahi kunywa Jamba Juice?
Hahaaa Jamba ziko sehemu nyingi tu. My kids love it there.Ushawahi kunywa Jamba Juice?
Au kunywa Mate?
Ya moto au baridi!!?Ulipenda jina tu, acha uongo...
Mimi hilo jina tu limenishinda.
Kumamoto? Duh! Mbona ni matusi kwa sie waswahili? Itakuaje siku kiongozi wetu mkuu akafika japan katika mji huo, magazeti na tv zetu zitaandikaje mji huo?. Haya, shangaeni na huko ghana kuna kijiji kinaitwa kumansenu, ukumbuke na kenya kuna kambi ya wakimbizi inaitwa kakuma
Musenge MukumaNamkumbuka balozi mzambia nchini tanzania
Kilichokuvutia ni hilo jina kumabaridi.🙂Miji ya wenzetu imepangwa ikapangika, imejengwa ikajengeka. Nataka ku relocate nikaishi zangu Kumamoto nchini Japan.
View attachment 2870489View attachment 2870490View attachment 2870491
Una lako jambo, si bure!Miji ya wenzetu imepangwa ikapangika, imejengwa ikajengeka. Nataka ku relocate nikaishi zangu Kumamoto nchini Japan.
View attachment 2870489View attachment 2870490View attachment 2870491
unamzungumzia mukuma?Namkumbuka balozi mzambia nchini tanzania
vipi na huu wimbo wake wa sasa tunaousikiliza akiimba **** makolo, **** makolo!Nakumbuka wimbo wa koffi olomide ulikuwa na kibwagizo kifananacho na "kumma inauma, kumah inauma"
Sasa sijui ndio alisema hivyo ama sisi masikio yalisikia vibaya, wataalam wa lingala mje hapa.
Junichiro Koizumi 🔥🔥Huko huko japan kuna ule uwanja wa mpira uliotumika kuchezewa fainali za kombe la dunia mwaka 2002. Viwanja vilikuwa vingi ila huo ulikuwa na jina baya kama huu mji. Wajapan wana majina ya ajabu kwa lugha yetu ya kiswahili , mtu anaitwa inamoto, kaisuki, junichiro, suzuki, honda
Magazeti yataandika Kumamoto yaingiliwa.Kumamoto? Duh! Mbona ni matusi kwa sie waswahili? Itakuaje siku kiongozi wetu mkuu akafika japan katika mji huo, magazeti na tv zetu zitaandikaje mji huo?. Haya, shangaeni na huko ghana kuna kijiji kinaitwa kumansenu, ukumbuke na kenya kuna kambi ya wakimbizi inaitwa kakuma