jimmyfoxxgongo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 5,352
- 9,368
![]()
Mchepuko kuweka status picha za familia yangu sijapenda
Huyu ana akil kwel? Yaani yeye picha za familia yangu anaweka status wakat mim sio kivileeee kwake? Yaah! Anaweka picha ya maza, mara baba mara masista, wth! Mimi kiukweli sjapenda kabisaaa. Hii mambo gani hizi? Akiona mtu anayenifahamu je?www.jamiiforums.com
Umetusaidia sana
Karibuni nyama wakuu,tumefika salama mapema tuu now twapata msos hapa,nyama ya mbusi swafi mi najilipua na Kvant hawa mashost m1 anakunywa wengne hawanywi,ila nahakikisha wanakunywa hata wine ili naniliu zishuke chin,
Hakuna namna sasa...napiga vant kuongeza confidence,..maana nmedhamiria kumla m1 iwe isiwe,ila huyu si mke wa mtu..yule mke wa mtu nmemwogopa maana amejirahisisha sana had nahis kaungua nin
Kwa huu uandishi tu sijui hata huko ofisini unafanya nini