Kuliwa wadada maofisini kamwe hakutoisha

Kuliwa wadada maofisini kamwe hakutoisha

Sijaoa ila nikioa mke wangu namfungulia biashara hapo hapo nyumban ama hafany kaz kabisaaaa.[emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]afadhali hao wanaoliwa maofisini wako anaweza kuliwa ndani ya nyumba yako na pengine kitanda unacholalia... Wahuni sio watu Napoleone,

Hii huwa ngumu sana ila uwezekano mkubwa upo huko maofisini,mimi ndio maana mke wangu hafanyi kazi.

Unajua kuna hatari na hatari zaidi. Wife akiwa home halafu akiwa anajitambua huwa poa sana,ila mke akiwa ofisini kadhalika akiwa anajitambua ni tatizo kubwa sana. Nimeandika haya kwa Kiswahili chepesi sana.
 
Huo muda fanya mambo yako
Ni ushauri tu.
Mtimizie unayoweza kwa maamuzi yake binafs atatulia.
Ukiishi nae kwa wasiwasi hutaenjoe hilo penz lenu
Itakuwa ni ugomv wa kila mara na kuzidi kumpush atoke nje
My dia nmekuchek pm
 
Back
Top Bottom