Kulipa kisasi kumenifikisha hapa

Kulipa kisasi kumenifikisha hapa

we bibi acha usenge basi... mbona ni dada yangu ni muislam haswa na kaolewa na mkristo. acha kuendekezea udini,mapenzi hayaychagui dini.

fumbafuuu thaaaana


Kama dada yako ni "Muislam haswa", huyo hajaolewa, amewekwa kimada na anafanya zinaa tu. Ni sheikh yupi aliyemuoza?

Hapo sasa!

Hilo nililokuwekea nyekundu, Jee, na wewe unatamani?
 
Hapo kwenye serikali hakuna dini. Ina maana huyo anejidai mwanamke wa Kiislam si Muislam.

Dada unachosema ni kweli ila mara nyingi uwasilishaji wa hoja zako umejaa ubinafsi na hisia zaidi ndio maana watu wengi wanashindwa kukuelewa..

Kuwa muislamu sio kuitwa Mohammed wala Juma vivyo hivyo kuwa mkristo sio kuitwa John au Joseph..
Dini ni mfumo wa maisha ambao inatakiwa waumini waufate so kama mtu anaenda against na mfumo huo anakuwa sio muumini wa hiyo dini automatically kutia ndani suala la muislam kuolewa na mtu wa dini nyingine

Mie ni Mkatoliki nilikuwa na mchumba ambaye ni muislam tulipanga kuoana lakini mazingira niliyoyaona na nikapima maisha ya hapo mbele nikaona nafanya kosa kubwa sana kuoa muislam ingawa mchumba wangu alikuwa tayari kubadilisha dini na kuwa mkatoliki,niliamua kuvunja mahusiano nilipoachana nae niliumia sana hata yeye hakuamini na she still cries everyday but nilimwambia SOMETIMES WE HAVE TO DO BAD THINGS FOR A GOOD REASON

Lazima ujue watu wengi wamezaliwa katika familia za kiislamu lakini matendo yao sio ya kiislamu hata kwa wakristo ipo ivyo
 
Na chuo umemaliza akili yenyewe ndo hiyo? Unahitaji kupimwa aisee
 
Hakuna ndoa ya mwanamke wa Kiislam na mwanamme asiye Muislam. Unajidanganya, huyo wa kwanza si mume ni hawara tu na upo kwenye dhambi kubwa ya uzinifu.

Unachotakuwa kufanya ni kujiepusha na hiyo zinaa na kufanya toba ya nguvu kwa mola wako. Usali na kutimiza nguzo zote za Kiislam na huku unamuomba toba mola wako.

Allah husameh dhambi zote kasoro kushirikishwa tu.
 
Habari wapendwa,

Poleni na majukumu ya maisha. Wandugu nisiwachoshe mwenzenu kuna mkasa umenipata yaani nashindwa kufanya maamuzi.

Stori inaanza hivi, mimi niliolewa na nikajaaliwa kupata watoto watatu wawili ni twins, mume wangu ni mkristo mimi muislamu.

Sasa wakati mume wangu ananioa nimemkuta na mtoto alizaa na mdada flani hivi muigizaji wa Bongo Movie.

Huyo dada hakumuoa alizaa nae tu wakaachana na mtoto huyo nimemlea mimi mpaka sasa yupo darasa la2.

Mwaka juzi nilipata mkasa mzito sintosahau, nilipakaziwa kitu ambacho sijafanya ikawa ndo sababu na nikaachika kwa talaka kabisa.

Ni kwamba kuna mtu inasemekana alipiga simu kwa wakwe zangu na kujitambulisha kwamba yeye ni rafiki yangu na tupo kwa mganga kwa lengo la kumroga mume wangu nimuue ili nirithi mali zake.

Muda wote huo me skujua kwanini mama mkwe ananichukia ghafla wakati mwanzo alinipenda kama amenizaa.

Mwisho wa siku nikapewa talaka nikarudi kwetu nikiwa na mimba ya mtoto mwingine, nimehangaika peke yangu mpaka nimejifungua.

Nikarudi chuo nimemaliza chuo mume wangu amenifuata kuniomba msamaha turudiane tulee watoto wetu.

Kibinadamu nikamsamehe lakini Mungu hamfichi mnafiki siku ikafika nikagundua aliefanya huo mchezo ni yule mwanamke aliezaa nae lengo lake arudi yeye.

Lakini kisicho riziki hakiliki pamoja na kufanya hayo bado mume wangu hakumrudia.

Akapata bwana mwingne ni askari akazaa nae mtoto mmoja, huyo bwana aliona picha yangu Instagram akanitafuta,yeye hakujua na hajui kama namjua.

So amekua mpenzi wangu kwa muda kidogo, mimi nilikua nafanya kwa kumkomoa yule mwanamke alieniharibia kwangu.

Sasa jamaa huyu ndo amenogewa anataka ndoa nampa tarehe tu kila siku yani nimedata tu hapa.

Nampenda sana na ananipenda hivi keshokutwa anataka kunipeleka kwao Usukumani kunitambulisha.

Mume wangu wa kwanza huyo ni mkristo, huyu ni mkristo but yupo tayari kubadili dini hata leo.

Nampenda ni mstaarabu, muwazi, mkweli, ana huruma, anajua mapenzi tofauti na wa mwanzo.

Sasa nawaza je, akija kujua kama mimi nilikua nalipiza kisasi atanichukuliaje?

Atanipenda? Haya nitamuachaje yule niliezaa nae watoto watatu wakati ameshaomb radhi?

Ushauri please
Usiache mambachao kwa msala upitao na mkataa pema pabaya panamwita.
No future kwa hawa maskari wanajeshi na silika zote hizo wao huwa na wengi na hujiulizi insta wanapiga wanawake wangapi wengi eti mpenzi wa mbaya wako aje galfa ukupendee acha kuwa naakili basi huo ni mchezo utaachwa pale ukimuacha yule wa mwanzo .
 
Hakuna ndoa ya mwanamke wa Kiislam na mwanamme asiye Muislam. Unajidanganya, huyo wa kwanza si mume ni hawara tu na upo kwenye dhambi kubwa ya uzinifu.

Unachotakuwa kufanya ni kujiepusha na hiyo zinaa na kufanya toba ya nguvu kwa mola wako. Usali na kutimiza nguzo zote za Kiislam na huku unamuomba toba mola wako.

Allah husameh dhambi zote kasoro kushirikishwa tu.
mwaname hana dini moja pili ya ngoswe muachie ngoswe.
 
mwaname hana dini moja pili ya ngoswe muachie ngoswe.
Yameletwa jukwaa wazi kwa hiyo usemayo ni "simply bs".

Huyo ngoswe angeyapeleka pm angetaka yaachiwe. Si hapa jukwaa la wazi.

Mwanamke wa Kiislam hana ndoa hapo ni uzinzi tu asijidanganye.

Mapunguani tu wasiolielewa hilo.
 
Yameletwa jukwaa wazi kwa hiyo usemayo ni "simply bs".

Huyo ngoswe angeyapeleka pm angetaka yaachiwe. Si hapa jukwaa la wazi.

Mwanamke wa Kiislam hana ndoa hapo ni uzinzi tu asijidanganye.

Mapunguani tu wasiolielewa hilo.
Dah mapunguani kama siye wakristo waerevu ndio nyie waislamu jamani.
Haya ila nyie huko mliko mmepotea njia.
Ndio maana hata mnatanga tanga.
 
Ukifanya jambo kwa nia ya kulipiza kisasi unaanza kuumia wewe kabla ya unaemfanyia hajaumia nalo.
Pili mwanamke/mwanaume ambaye anakuwa tayari kubadili imani yake sababu ya mahusiano abadani hapaswi kuaminiwa.
 
Umesema wewe ni muislamu, fanya toba anza kufanya ibada na mshawishi huyo mpenzio either abadili dini au wewe ubadili dini mfunge ndoa muendelee na maisha ulilofanya ni jambo baya sana..
 
Wewe ni malaya wa kutupa
Malaya kabisa dada angu
Kama ulikua hujui malaya anafananaje?
Jiangalie wewe
 
Ipo siku utageuka kuwa daraja la Surrender kwa kugonganisha magari!
 
kabla hatujawaoa huwa tunakuwa wastaarabu, wawazi, wakweli, na tunahuruma ila mkiingia ndoani ndo mtatumbua sisi ni akina nani
 
Aisee kwa revenge hii ya kujitoa mwili wako inaonekana hata kumloga mtu kwako ni kitu kidogo sana
 
Back
Top Bottom