Kulipa kisasi kumenifikisha hapa

Kulipa kisasi kumenifikisha hapa

Tuseme nin sie, kama maisha ya ndoa anayajua vizuri, aseme na moyo wake

Dats true,, unajua mkuu kuna mtu alishawai nambie kuna girl, lady, woman and wife..

“she is someone's wife bt kwa maamuzi aliyochukua its like she acted like a girl... sababu kwa mwanamke ambaye aliolewa then akawa devorce then remarriage hawezi kufanya maamuzi kama hayo
 
Hiyo inaitwa Poetic Justice.

Yaani risasi uliyoweka kumuua adui yako imekuua wewe mwenyewe (collateral damage)...

Hata akigundua maji yameshamwagika na love always happen accidentally, jipange tu siku akigundua umuweke sawa na kumwambia kama isingekuwa kisasi basi msingejuana na msingeoana

Lakini ulifanya kosa sana kulipiza kisasi sometimes u let it go...
 
Wakati Mwingine Huwa Nakasirikaga Sana nikigundua Tanzania Kuna Wanawake Waina Hii.... Unatoa Penzi na Kuudhalilisha Utu Wako Kisa Eti Unalipa Kisasi? Kila Nikifikiria Kuoa Nahisi Ntakuja Kufa kwa Presha Kwa Aina Ya Wanawake Hawa
 
Dats true,, unajua mkuu kuna mtu alishawai nambie kuna girl, lady, woman and wife..

“she is someone's wife bt kwa maamuzi aliyochukua its like she acted like a girl... sababu kwa mwanamke ambaye aliolewa then akawa devorce then remarriage hawezi kufanya maamuzi kama hayo

Ninachojua mim mwanamke anayejua ndoa, hata ikatokea bahati mbaya akaachika hawezi kufanya ujinga huo, atajitahidi kuwa makin ili asijeruhiwe tena, tena hawezi fanya mashindano na mwanaume aliezaa nae, zaidi atajijengea heshima ili hata siku akikutana na mtalaka au ndugu wa mume wajute kwa maamuzi ya kumuacha.

Katafuta tatizo tayari hata akirudiana na huyo mme wake tayari hiyo ndoa ina doa, kila akikosea mwanaume atamkumbusha ujinga huo. Bora akae atulie alee wanae,

Walioanzisha mapenzi waliyachoka, sijui kwanin sie tulipokea tunakua malimbukeni.
 
Dah wanawake bn, kwa hiyo jamaa kakutawanya miguu kisa kisasi, kweli papuchi ziko cheap
 
Ninachojua mim mwanamke anayejua ndoa, hata ikatokea bahati mbaya akaachika hawezi kufanya ujinga huo, atajitahidi kuwa makin ili asijeruhiwe tena, tena hawezi fanya mashindano na mwanaume aliezaa nae, zaidi atajijengea heshima ili hata siku akikutana na mtalaka au ndugu wa mume wajute kwa maamuzi ya kumuacha.

Katafuta tatizo tayari hata akirudiana na huyo mme wake tayari hiyo ndoa ina doa, kila akikosea mwanaume atamkumbusha ujinga huo. Bora akae atulie alee wanae,

Walioanzisha mapenzi waliyachoka, sijui kwanin sie tulipokea tunakua malimbukeni.

Wow,,, umenena haswaaaaa mkuuu kulaaa tano za bureee...
 
Mbn cku izi dunia imeendlea san,na wew fany kam unaolewa na wot kwan wot wanakupnd
 
Duuh umebugi step, mimi naona hata kisasi hujafanya hapo. Kisasi unatakiwa umuumize huyo adui yako lakini sasa naona kama linakurudia mwenyewe maana umelikoroga kutoka ni taabu. Hapo ulitakiwa uharibu hilo penzi na utokomee bila kujulikana, sio hiyo ya kiwazi ambayo itaishia kukucost furaha yako.

Mimi naona jamaa atakuwa kawin maana kawamega wote wawili, zaidi kakumega wewe, na relatiohsip kama hizi za visasi unaishia unamegwa hata bure.....

cc lailaty88
 
Last edited by a moderator:
Je una uhakika wote hawamo humu?
jamani msijidanganye na hizi ID fake,
kuna watu wanajua kuunganisha dots
wanaweza kukuumiza,nashauri
msitaje idadi ya watoto,Twins au single,
jinsia zao na makabila ya wake/waume zenu.
maana leo umekuja na hili,kesho unaweza kuja na la kunyofolewa pua
 
Mmmh!!!!!!!! visasi hadi umegewa safi sana, ila jua kama huna mapenzi nae tegemea kujuta baadae.

Raha ya mapenzi ucje jiuliza ilikuwaje nikawa na huyu.

Sema na moyo wako ndio utakupa mwongozo, maana kama uliishaishi na mtu unajua machungu na raha za ndoa ivo jiongoze wewe mwenyewe.
ninavyokupenda wewe mdada
 
Back
Top Bottom