Kulipa kisasi kumenifikisha hapa

Kulipa kisasi kumenifikisha hapa

Duuh umebugi step, mimi naona hata kisasi hujafanya hapo. Kisasi unatakiwa umuumize huyo adui yako lakini sasa naona kama linakurudia mwenyewe maana umelikoroga kutoka ni taabu. Hapo ulitakiwa uharibu hilo penzi na utokomee bila kujulikana, sio hiyo ya kiwazi ambayo itaishia kukucost furaha yako.

Mimi naona jamaa atakuwa kawin maana kawamega wote wawili, zaidi kakumega wewe, na relatiohsip kama hizi za visasi unaishia unamegwa hata bure.....

cc lailaty88
Kwa hiyo angelipwa hivi kidogo ingekuwa poa?
 
Je una uhakika wote hawamo humu?
jamani msijidanganye na hizi ID fake,
kuna watu wanajua kuunganisha dots
wanaweza kukuumiza,nashauri
msitaje idadi ya watoto,Twins au single,
jinsia zao na makabila ya wake/waume zenu.
maana leo umekuja na hili,kesho unaweza kuja na la kunyofolewa pua
Hapa hata jirani akisoma anapata picha lote. Kaanika kila kitu, hata hao wakwe wakisoma wataelewa kirahisi tu. Yuko wazi mnoooo
 
hahahaha hii kali sana mkuu. Umetisha si kidogo!

Ha ha yan me huwa nashangaa watu wanabaka wanafungwa miaka 30, au wasex na mbuzi, bata n.k wakati kuna mbunye zinatafunika kizembe namna hii jamani, daah
 
Habari wapendwa,

Poleni na majukumu ya maisha. Wandugu nisiwachoshe mwenzenu kuna mkasa umenipata yaani nashindwa kufanya maamuzi.

Stori inaanza hivi, mimi niliolewa na nikajaaliwa kupata watoto watatu wawili ni twins, mume wangu ni mkristo mimi muislamu.

Sasa wakati mume wangu ananioa nimemkuta na mtoto alizaa na mdada flani hivi muigizaji wa Bongo Movie.

Huyo dada hakumuoa alizaa nae tu wakaachana na mtoto huyo nimemlea mimi mpaka sasa yupo darasa la2.

Mwaka juzi nilipata mkasa mzito sintosahau, nilipakaziwa kitu ambacho sijafanya ikawa ndo sababu na nikaachika kwa talaka kabisa.

Ni kwamba kuna mtu inasemekana alipiga simu kwa wakwe zangu na kujitambulisha kwamba yeye ni rafiki yangu na tupo kwa mganga kwa lengo la kumroga mume wangu nimuue ili nirithi mali zake.

Muda wote huo me skujua kwanini mama mkwe ananichukia ghafla wakati mwanzo alinipenda kama amenizaa.

Mwisho wa siku nikapewa talaka nikarudi kwetu nikiwa na mimba ya mtoto mwingine, nimehangaika peke yangu mpaka nimejifungua.

Nikarudi chuo nimemaliza chuo mume wangu amenifuata kuniomba msamaha turudiane tulee watoto wetu.

Kibinadamu nikamsamehe lakini Mungu hamfichi mnafiki siku ikafika nikagundua aliefanya huo mchezo ni yule mwanamke aliezaa nae lengo lake arudi yeye.

Lakini kisicho riziki hakiliki pamoja na kufanya hayo bado mume wangu hakumrudia.

Akapata bwana mwingne ni askari akazaa nae mtoto mmoja, huyo bwana aliona picha yangu Instagram akanitafuta,yeye hakujua na hajui kama namjua.

So amekua mpenzi wangu kwa muda kidogo, mimi nilikua nafanya kwa kumkomoa yule mwanamke alieniharibia kwangu.

Sasa jamaa huyu ndo amenogewa anataka ndoa nampa tarehe tu kila siku yani nimedata tu hapa.

Nampenda sana na ananipenda hivi keshokutwa anataka kunipeleka kwao Usukumani kunitambulisha.

Mume wangu wa kwanza huyo ni mkristo, huyu ni mkristo but yupo tayari kubadili dini hata leo.

Nampenda ni mstaarabu, muwazi, mkweli, ana huruma, anajua mapenzi tofauti na wa mwanzo.

Sasa nawaza je, akija kujua kama mimi nilikua nalipiza kisasi atanichukuliaje?

Atanipenda? Haya nitamuachaje yule niliezaa nae watoto watatu wakati ameshaomb radhi?

Ushauri please

Wanaotunga story JF
 
nenda ugegedane nae mpige picha za uchi then mtumie huyo mbaya wako then mrudie mmeo
 
sasa mwenye mapenz ya kweli ni huyu msukuma au huyo mumeo ambaye hajawahi kukudanganya na alidanganywa na huyo mzaz mwenzake na akakuomba msamaha baada ya kujua ulikuwa ni mchezo umechezwa?

Nyie wanawake mna KERA SANA sijui mnataka mwanaume wa namna gani... kisasi gani hiki wakati ni uhun unafanya... au unafikiri maonevu mengine yanahitaji kisasi???

Ushauri ni uache umalaya
 
Habari wapendwa,

Poleni na majukumu ya maisha. Wandugu nisiwachoshe mwenzenu kuna mkasa umenipata yaani nashindwa kufanya maamuzi.

Stori inaanza hivi, mimi niliolewa na nikajaaliwa kupata watoto watatu wawili ni twins, mume wangu ni mkristo mimi muislamu.

Sasa wakati mume wangu ananioa nimemkuta na mtoto alizaa na mdada flani hivi muigizaji wa Bongo Movie.

Huyo dada hakumuoa alizaa nae tu wakaachana na mtoto huyo nimemlea mimi mpaka sasa yupo darasa la2.

Mwaka juzi nilipata mkasa mzito sintosahau, nilipakaziwa kitu ambacho sijafanya ikawa ndo sababu na nikaachika kwa talaka kabisa.

Ni kwamba kuna mtu inasemekana alipiga simu kwa wakwe zangu na kujitambulisha kwamba yeye ni rafiki yangu na tupo kwa mganga kwa lengo la kumroga mume wangu nimuue ili nirithi mali zake.

Muda wote huo me skujua kwanini mama mkwe ananichukia ghafla wakati mwanzo alinipenda kama amenizaa.

Mwisho wa siku nikapewa talaka nikarudi kwetu nikiwa na mimba ya mtoto mwingine, nimehangaika peke yangu mpaka nimejifungua.

Nikarudi chuo nimemaliza chuo mume wangu amenifuata kuniomba msamaha turudiane tulee watoto wetu.

Kibinadamu nikamsamehe lakini Mungu hamfichi mnafiki siku ikafika nikagundua aliefanya huo mchezo ni yule mwanamke aliezaa nae lengo lake arudi yeye.

Lakini kisicho riziki hakiliki pamoja na kufanya hayo bado mume wangu hakumrudia.

Akapata bwana mwingne ni askari akazaa nae mtoto mmoja, huyo bwana aliona picha yangu Instagram akanitafuta,yeye hakujua na hajui kama namjua.

So amekua mpenzi wangu kwa muda kidogo, mimi nilikua nafanya kwa kumkomoa yule mwanamke alieniharibia kwangu.

Sasa jamaa huyu ndo amenogewa anataka ndoa nampa tarehe tu kila siku yani nimedata tu hapa.

Nampenda sana na ananipenda hivi keshokutwa anataka kunipeleka kwao Usukumani kunitambulisha.

Mume wangu wa kwanza huyo ni mkristo, huyu ni mkristo but yupo tayari kubadili dini hata leo.

Nampenda ni mstaarabu, muwazi, mkweli, ana huruma, anajua mapenzi tofauti na wa mwanzo.

Sasa nawaza je, akija kujua kama mimi nilikua nalipiza kisasi atanichukuliaje?

Atanipenda? Haya nitamuachaje yule niliezaa nae watoto watatu wakati ameshaomb radhi?

Ushauri please

Usijidanganye, mwanamke wa Kiislam haolewi na mwanamme wa kikristo hata siku moja.

Wewe ni mkristo unakuja kudanganya watoto wa kike wa Kiislam waone kama kitu cha kawaida mwanamke wa Kiislam kuwa na mwanmme wa kikristo. Hakuna hiyo katika Uislam, msitutukane kistaarabu.

Watoto wa kike wa Kiislaam hizi ni porojo wala msifikiri hiki kisa ni cha kweli, hawa wenzetu usiku na mchana wanafikiri mbinu mpya za kuuharibu Uislam, wapo katika mkakati wa "mass brainwashing". Wanatumia media zote, kuanzia majarida, filamu, mpaka hii mitandao ya kijamii - Kumbukeni hilo.

Punguani wahed.
 
Duh pole
Nimeishiwa maneno
Ngoja nikuitie The Boss na Dark City watakuwa na neno la busara la kukwambia

Mimi wanawake wanaolipa visasi kwa kumpa mwanaume mwingine k wananishangaza na kunisisimua at the same time
only natamani mimi niwe upande wa kupewa k bure kwa kulipa kisasi kwa mtu...
 
Back
Top Bottom