Kulima si jambo la kitoto

Pawaga

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
1,349
1,011
FB_IMG_1496949946449.jpg
 
Pale unapokosa sehemu ya kukaa ili upumzike kwa muda, unajiegemeza namna hiyo. Tahadhari ni muhimu sio ya kuiga.
 
Aahahahahahahaaa umenikumbusha enzi hizo kwa bibi looh. Ila hata askari wenye silaha huwa wakichoka wanakalia mitutu yao kwa staili hiyohiyo.. .. sasa sijui huwa hatari haitokei silaha au mpini ukaingia kipwinto.... eehehehehehehehe
 
Kupumuzika kwa kuweka mpini kunako wakati unalima hakujawah kumwacha mtu salama
 
Back
Top Bottom