wengi hizo zilikuwa ndio kinga zao waliambiwa na akina Dr mkombozi siku hizi ni pete na chain
viongozi wengi wakiwa madarakani wanaogopa kulogwa au kung'olewa kirahi kwahiyo lazima wawe na kamati ya ufundi tena ya hali ya juu kama ile ya mobutu seseko kuku wa zebanga
Wote walikuwa wanga hao.
Una bahati ya mtende! Ungenikuta nimejaa tele! Na pasingetosha!
Oooh ! Santa nimekusoma! Otherwise nilikua nimekusoma different!
Habari kua wewe ni nunda nilikwisha tonywa kitambo, kua u'nunda mithili ya mabin'zi ya Kyela!
Si ndiyo?
Kwa majibu muafaka nakupa tano!
Big up.
Out of so much marks !
kuna haja ya kufungua kampuni ya kuotesha ndoto. Unaonaje hili dili dingi? Nimefulia mbayaaaa!Ni namna tu ya kutafuta identity ingawa mara nyingi zinahusishwa na mambo ya kishirikina...
Siwezi kulizungumzia hilo kwa sababu mimi sio mdadavuaji wa mambo ya kishirikina, bali huwa naoteshwa kuhusu mambo muhimu yatakayotokea au kuwatokea watu walionizunguka..........
I think I deserve it as per your view point!
Absolutely!
Frankly anyone know how to received the reward!
This will help you to identify your strengths with your respect.
Due your aplicable behavior you can determine the best way to deal with any given situation with issues .
I never wish for rewards in order to boost my identity.
Neither do my strengths nor respect depend on being accredited.
Because those things might never carry honest!
So my only applicable character to determine the best way of dealing with any given situation with defined issues, is to bold the fact . . . . that's it!
And, whoever wishes to sweep that away . . . must point the unwanted reasonably, not by mere opinions!
kuna haja ya kufungua kampuni ya kuotesha ndoto. Unaonaje hili dili dingi? Nimefulia mbayaaaa!