Kulikuwa na jaribio la kumdhuru Dr. Slaa?

Habari ambazo hazijathitishwa zimeaarifu kuwepo kwa jaribio la kutaka kumuua Rais wa wananchi Dr wa Ukweli Slaa ,ninaposema rais wa watanzania nina maanisha Dr Slaa ,Kikwete ni Rais wa kichina wa Tume ya uchaguzi ambaye alichakachua matokeo ya uchaguzi na kuingia ikulu kama wa china wanavyochakachua bidhaa feki.

Jaribio hilo kwa mujibu wa vyanzo nyeti vya habari kutoka kwa baadhi ya makada wa sisiemu zinasema ,machafuko ya tarime yamekuwa ni mtaji wa kisiasa ukilenga kumwondoa Dr Slaa ,kama dr Slaa angeleenda huko tarime basi angekutwa na kitu kibaya .inasemekana kuliandaliwa mpango mahususi wa kumwangamiza kwa njia ya sumu ambayo ingempata dr Slaa angenza kuchanganyikiwa kama kichaa.

katika mpango huo ambao wengi wameulaani wanasema kama dr slaa atakufa ndani ya kipindi kabla ya 2015 ama zaidi ya hapo kwa njia yoyote ile basi machafuko makubwa yatatokea .

Mbona aliisha jiua yeye mwenyewe tayari baada ya uchaguzi ule wa oktoba ! msimtafutie sifa mzee watu ambazo hana, mwacheni apumzike na bi mdogo , yule mke wa mtu
 
MODs are you serious! Is Slaa a president of TZ? The insanity entered here. For your information, the Loser Dr. SLAA will never be a president of Tanzania.

  • Uelewa mdogo maskini! Tanzania is not equal to Tanzanians!
 
u r so silly! Who said dr Slaa is president of Tanzania? Is not. But people name him president of TanzanIANS. Surely,really and true,he remains in souls of TanzaniANS as a presiding figure.

Am I not among the people? I said he is not a president of Tanzanians. Tanzanians exists because of Tanzania. There are no Tanzanians without Tanzania and vise versa.
 
Mauti ni ya kila mmoja, yaani wewe, mimi na yule. Kile kiumbe chenye uhai, lazima mauti yakikute.

Unataka kusema, ata Mwenyezi Mungu akimuita kwa mapenzi yake, basi wale watakao kuwa hai wakutwe na machufuko? Dr. Slaa ni mchungaji wa kondoo wa Mungu, kama alivyo Rais Kikwete, wewe na mimi na yeyote awaye. Unampangia Mungu ni lini amuite mchungaji wake?

Dr. Slaa, wewe, mimi na yeyote awaye tutapita na Tanzania itaendelea kuwepo na kushamili zaidi.

"Tanzania bila CHADEMA na Dr. Slaa inawezekana:mod:"

Umenena tz bila ccm na jk inawezekana
 
Mbona aliisha jiua yeye mwenyewe tayari baada ya uchaguzi ule wa oktoba ! msimtafutie sifa mzee watu ambazo hana, mwacheni apumzike na bi mdogo , yule mke wa mtu

Sijajuwa huyu kaka yetu mwenye wakee kila mkowa kama yupo salama unaonekana unajuwa mengi kuhusu afya za watu unamzungumziyajee?
 
Heh he heeeeeeeee, mwenzangu kuna mikoa ikulu zilihamia kwa wakuu wa wilaya........!! watu tunaona na tumekaa kimya hatuyasemi yanasemwa ya huyo mke wa mtu!!!!!!! kwani mumewe alikuwa wapi hadi mke akaibwa?? alipokonywa mkononi??? Mmezidi bwana. Ukweli ni kwamba sio lazima awe raisi yetu (huyo mkw..er..e) kwani asiyekuwapo moyoni na machoni hayupo.
 
Habari ambazo hazijathitishwa zimeaarifu kuwepo kwa jaribio la kutaka kumuua Rais wa wananchi Dr wa Ukweli Slaa ,ninaposema rais wa watanzania nina maanisha Dr Slaa ,Kikwete ni Rais wa kichina wa Tume ya uchaguzi ambaye alichakachua matokeo ya uchaguzi na kuingia ikulu kama wa china wanavyochakachua bidhaa feki.

Jaribio hilo kwa mujibu wa vyanzo nyeti vya habari kutoka kwa baadhi ya makada wa sisiemu zinasema ,machafuko ya tarime yamekuwa ni mtaji wa kisiasa ukilenga kumwondoa Dr Slaa ,kama dr Slaa angeleenda huko tarime basi angekutwa na kitu kibaya .inasemekana kuliandaliwa mpango mahususi wa kumwangamiza kwa njia ya sumu ambayo ingempata dr Slaa angenza kuchanganyikiwa kama kichaa.

katika mpango huo ambao wengi wameulaani wanasema kama dr slaa atakufa ndani ya kipindi kabla ya 2015 ama zaidi ya hapo kwa njia yoyote ile basi machafuko makubwa yatatokea .

inaonyesha upo ktk hatua za mwisho kabisa za kuanza kumsujudia nabii Slaa. kitakachofuata nadhani ni kumuita saint!
 
Hapo kwenye modem, loh, nilijua mwisho wa matumizi ya modem umefika so ma mods waangalie vizuri taarifa yako!
 
Hebu muacheni mzee wa watu awaze masuala ya msingi mke aliye pora anatarajia kujifungua,mwenzenu mara ya mwisho kupata mtoto ilikuwa wakati rose kamili kijana.
 
then baad ya kifo chake isingekua nguvu ya uma tena ingekua na jina kubwa zaid lisilokua na chembe ya mzaha,lisiloogopa intelijensia ya Mwema au mwamunyange.
 
Habari ambazo hazijathitishwa zimeaarifu kuwepo kwa jaribio la kutaka kumuua Rais wa wananchi Dr wa Ukweli Slaa ,ninaposema rais wa watanzania nina maanisha Dr Slaa ,Kikwete ni Rais wa kichina wa Tume ya uchaguzi ambaye alichakachua matokeo ya uchaguzi na kuingia ikulu kama wa china wanavyochakachua bidhaa feki.

Jaribio hilo kwa mujibu wa vyanzo nyeti vya habari kutoka kwa baadhi ya makada wa sisiemu zinasema ,machafuko ya tarime yamekuwa ni mtaji wa kisiasa ukilenga kumwondoa Dr Slaa ,kama dr Slaa angeleenda huko tarime basi angekutwa na kitu kibaya .inasemekana kuliandaliwa mpango mahususi wa kumwangamiza kwa njia ya sumu ambayo ingempata dr Slaa angenza kuchanganyikiwa kama kichaa.

katika mpango huo ambao wengi wameulaani wanasema kama dr slaa atakufa ndani ya kipindi kabla ya 2015 ama zaidi ya hapo kwa njia yoyote ile basi machafuko makubwa yatatokea .
Hata kama kuna ukweli lakini umeandika kishabiki jambo ambalo linatia kinyaa kwa watu makini.
 
Back
Top Bottom