Kama wao ndo wameomba nadhani basi kosa halijafanyika kuwakubaliaHapana umakosea, sijasema msaada wa waislamu ni kigezo cha kukubaliana mkataba mingine. Na sidhani kama ktk mikataba 20 iliyosainia, imesainiwa kwa mwamvuli wa uislamu. Ila wao Morocco ndio wamependelea au kuomba kusaidia maendeleo ya uislamu TZ kwa imani kwamba waislamu wote duniani ni watu wa familia moja. Na Serikali yetu haioni tatizo lolote kusaidia taasisi ya kiislamu TZ.
Mwanadamu amepewa uwezo wa kutafakari, kwehiyo linapotokea jambo lisilo lakawaida lazima aenze kutafakari na kujiuliza maswali mengi.
Hili ndilo swali ninalo jiuliza je kuna nini nyuma ya jambo hili kuhusu ujenzi wa taasisi za kiislam kufanywa na serikali ya awamu ya tano?...muda simrefu tulimuona mkuu wa mkoa wa Dar akitoa ahadi ya Tshs bil 4 kujenga ofisi za kislam Dar hata kabla haujapita mwaka tumemsikia Rais akiomba msaada wa kujenga msikiti mkubwa Dar. hili siyo jambo baya likifanywa kwa nia njema, maana natarajia muda simrefu hata taasisi za Ki-kristo zitapokea ufadhili huo muda simrefu.
Lakini siwezi kunyamaza kimya maana naifahamu historia ya viongozi wengine wa serikali waliofanya hivyo lengo lao lilikuwa kuwafunga viongozi wa dini midomo kama alivyofanya mfalme Constantine matokea yake viongozi wote wa jini walikaa kimya wakisubiria maamuzi kutoka kwa mfalme wa nchi. Ikasababisha viongozi wa dini kushindwa kukemea serikali pale ilipoenda kinyume.
Nitafakari yangu wala msinihukumu
Kwan kuwaendeleza waislamu n kufungua misikitiMorocco ni nchi ya kiislam na moja kati ya nguzo zake ni kuiendeleza dini ya kiislam. Serikali ya TZ inatambuwa baadhi ya wananchi wake ni waumini wa dini ya kiislam, Morocco wanafedha za kuendeleza dini ya kiislam. Waislam wa Tanzania wanaitaji msaada wa kuiendeleza dini yao. Serikali ilichofana ni kuunganisha hizi pande mbili, mwenye fedha na anayehitaji fedha. Hakuna pazia wala dirisha.
Sio lazima, ila ndilo walilopendezwa nalo. Ukizingatia Morocco ni nchi ya kiislam, naimani kwao huo ni msaada mwafaka.Kwa
Kwan kuwaendeleza waislamu n kufungua misikiti
Mbona Lowasa alikuwa akiwapa pesa nyingi karibia na kampeni. Kulikuwa na nini?Mwanadamu amepewa uwezo wa kutafakari, kwehiyo linapotokea jambo lisilo lakawaida lazima aenze kutafakari na kujiuliza maswali mengi.
Hili ndilo swali ninalo jiuliza je kuna nini nyuma ya jambo hili kuhusu ujenzi wa taasisi za kiislam kufanywa na serikali ya awamu ya tano?...muda simrefu tulimuona mkuu wa mkoa wa Dar akitoa ahadi ya Tshs bil 4 kujenga ofisi za kislam Dar hata kabla haujapita mwaka tumemsikia Rais akiomba msaada wa kujenga msikiti mkubwa Dar. hili siyo jambo baya likifanywa kwa nia njema, maana natarajia muda simrefu hata taasisi za Ki-kristo zitapokea ufadhili huo muda simrefu.
Lakini siwezi kunyamaza kimya maana naifahamu historia ya viongozi wengine wa serikali waliofanya hivyo lengo lao lilikuwa kuwafunga viongozi wa dini midomo kama alivyofanya mfalme Constantine matokea yake viongozi wote wa jini walikaa kimya wakisubiria maamuzi kutoka kwa mfalme wa nchi. Ikasababisha viongozi wa dini kushindwa kukemea serikali pale ilipoenda kinyume.
Nitafakari yangu wala msinihukumu
"...Hili ndilo swali ninalo jiuliza
je kuna nini nyuma ya
jambo hili kuhusu ujenzi wa
taasisi za serikali
unaofanywa na serikali ya
awamu ya 'tatu??????'.."
lile jamaa limetoka morocco likiwa limepanga kabisa kujenga msikiti,sema huku wakaunga kama rais ndo kaomba,Jaama anajifanya eti anakula na kipofu, siku hizi watu wote wajanja, muda ukifika unakula za uso, ukisema vipi kale kama kamjengo watakuuliza tulikutuma si ulijipendekeza, watu watakula kichwa kama hawakujui.