Kulikoni ujenzi wa taasisi za kiislamu kufanywa na serikali?

Angeomba ujenzi wa Chuo Kikuu cha Kiislamu angekuwa amewakomboa Waislamu
MwlNyerere alitaifisha shule,vyuo na hospital zilizojengwa na wakristo na kuwa mali ya serikali ili kuweka usawa lakini tunashangaa kasi ya marais wetu sasa ya kutumia nafasi zao kuwapendelea waislamu, Rais wa awamu ya tatu alithubutu kutoa majengo ya serikali ili waislamu waanzishe chuo kikuu morogoro na sasa tunaona Mkuu mkoa anatoa ahadi ya kujenga ofisi za bakwata na Rais anamalizia kwa kuomba kujengwa kwa msikiti hii ni hatari kwa viongozi wa kisiasa kujiingiza katika mambo ya dini .Tuwache taasisi za dini zifanye mambo yao wenyewe.Rais alichotakiwa kufanya ni kumkutanisha shehe mkuu na mfalme ili waislamu wajisemee mambo yao.
 
ha ha ha,bana we,mbona hata Nyerere alimuomba Gadaf amjengee msikiti Butiama na ukajengwa.

Hawajipendekezi,huo ni unyenyekevu kwa watu wenye hela
 
MwlNyerere alitaifisha shule,vyuo na hospital zilizojengwa na wakristo na kuwa mali ya serikali ili kuweka usawa lakini tunashangaa kasi ya marais wetu sasa ya kutumia nafasi zao kuwapendelea waislamu, Rais wa awamu ya tatu alithubutu kutoa majengo ya serikali ili waislamu waanzishe chuo kikuu morogoro na sasa tunaona Mkuu mkoa anatoa ahadi ya kujenga ofisi za bakwata na Rais anamalizia kwa kuomba kujengwa kwa msikiti hii ni hatari kwa viongozi wa kisiasa kujiingiza katika mambo ya dini .Tuwache taasisi za dini zifanye mambo yao wenyewe.Rais alichotakiwa kufanya ni kumkutanisha shehe mkuu na mfalme ili waislamu wajisemee mambo yao.
Wajisemee kivipi ?
 
Mzee kwa waislamu huu ni mjadala mrefu na mpana sana
 
Kwa ufupi mwenye macho ameona na mwenye masikio amesikia nadhani wahusika watajirekebisha.Tunataka wanasiasa wasishabikie katika mambo ya Taasisi za kidini ili Taifa liwe na mshikamano.
 
Back
Top Bottom