kuna jamaa yupo dom nilimpigia simu kumuuliza hot nyuz za tz daima leo akasema dom yaliisha mapema hii ina maana ni karibu tz nzima. shame tz daima
Mhariri Mtendaji wa Tanzania Daima, Absalom Kibanda, ndiye anayeliuwa hili gazeti. Hana muda tena wa kufuatilia circulation na distribution ya gazeti. Yuko busy anafanya kazi part-time kwenye magazine ya Edward Lowassa inaitwa UMOJA. Pia Kibanda amekuwa anatoa habari za kumbeba Lowassa, Rostam Aziz na Andrew Chenge kwenye Tanzania Daima. Kwa kupokea malipo kutoka kwa Lowassa na Rostam, Kibanda pia amekuwa akiandika habari za kuwakashifu Samuel Sitta, Harisson Mwakyembe, Bernard Membe na John Magufuli.
Tatizo hapa ni kuwa mmiliki wa Tanzania Daima, Freeman Mbowe, pia yuko karibu na fisadi Edward Lowassa ndiyo maana anaruhusu ushenzi huu ufanyike. Tanzania Daima litakufa baada ya muda kwa mwenendo huu. Limekuwa ni gazeti linalotumiwa na mafisadi.