Kulikoni Prof. Mwandosya amenyoa nywele au ni ugonjwa kama wa Dr. Mwakyembe? Tujuzeni tafadhali? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kulikoni Prof. Mwandosya amenyoa nywele au ni ugonjwa kama wa Dr. Mwakyembe? Tujuzeni tafadhali?

Discussion in 'Jamii Photos' started by kimalando, May 8, 2012.

 1. k

  kimalando Senior Member

  #1
  May 8, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wana JF tunaomba mtujuze kuhusu afya ya Prof Mwandosya. Nimemuona kwenye Michuzi blog hana nywele? Ni ugonjwa kama wa Dr. Mwakyembe au kanyoa!!
   

  Attached Files:

 2. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Kama daktari,

  Siruhusiwi kutoa taarifa za mgonjwa! Pia nawashauri msijadili mambo ya ugonjwa wa mweshimiwa waziri!
   
 3. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #3
  May 8, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Kamanda! Yani yaliyowakuta hawa wachapakazi wawili wa ccm ni wao wenyewe na MUNGU wao ndio wanajua siri hiyo.
  Na kama wasingekuwa na IMANI ya uwepo wa MUNGU aliye hai,hakika nakwambia hawa wote wawili wangerudi makapu tu!

  Yani ni siri yao tu!
   
 4. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #4
  May 8, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Tumtakie afya njema hakuna haja ya kudodosa afya ya mtu ni kumuongezea maumivu
   
 5. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #5
  May 8, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Hivi ile sumu inaitwaje vile
   
 6. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #6
  May 8, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  yeye si alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa mgongo na si ngozi?
   
 7. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #7
  May 8, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  pollonium
   
 8. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #8
  May 8, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,922
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Kwahiyo hata wewe ukinyoa unatakiwa kuhojiwa??
   
 9. King2

  King2 JF-Expert Member

  #9
  May 8, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Huyu naye Kikwete kamchagua Kiushkaji.. Wanang'ata na kupuliza. Nani haoo. MAGAMBA!
   
 10. k

  kimalando Senior Member

  #10
  May 8, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wewe hapa kuna issue mbili uhusiano wa ugonjwa na nywele kunyonyoka. Please stick to the main issue under discussion!!
   
 11. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #11
  May 8, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hiyo ni side effect ya dawa za kansa.
   
 12. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #12
  May 8, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  mnh yaani kunyoa nywele napo kunamake headlines?
   
 13. k

  kimalando Senior Member

  #13
  May 8, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hapo umetoa majibu ya kisayansi japo sijui kama Mheshimiwa yuko kwenye dose ya cancer!!
   
 14. C

  Chupaku JF-Expert Member

  #14
  May 8, 2012
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 1,043
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  My professor, kama unapita humu JF ujue kuwa nakupa pole sana kwa maradhi yanayokusibu. Siwezi kukulipa kwa yale yote ambayo umenitendea katika maisha yangu. Wema wako na useme mbele za Mungu na akupe ahueni na unafuu katika maisha yako yote.
  Pole sana.
   
 15. M

  Mkulima JF-Expert Member

  #15
  May 8, 2012
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 698
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Hiyo ni matibabu ya kansa. Ugua pole prof. Mwandosya.

  Dunia hii kila mtu anaumwa na ukitaka ushahidi ni zile foleni kuelekea kwa babu wa Loliondo.
   
 16. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #16
  May 8, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 418,551
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  afya za viongozi wetu kila kona ni mushkeli mkubwa.............tutasingizia sumu lakini ukweli hatuwezi kuuchakachua hata chembe.........
   
 17. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #17
  May 8, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 418,551
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  huyu januari ni kinda lakini kesha kuwa babu baada ya muda mtasikia kaenda india kusafishwa sumu ya wabaya wake......................
   
 18. M

  Mkekuu JF-Expert Member

  #18
  May 8, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Zuga toto ya Bongo umeisahau.
   
 19. Elisha Ray

  Elisha Ray JF-Expert Member

  #19
  May 8, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 302
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  why not? he's a public figure tina.....
   
 20. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #20
  May 8, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  kufika 2015, sehemu kubwa ya viongozi wa ccm watakuwa na vipara.
  Kama kuna style ya piga nikupige
   
Loading...