BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 2,712
- 6,515
Kwa Arusha naamini hii sheria haifanyi kazi, labda maeneo mengine, Arusha Wazungu wanamiliki Ardhi, elewa wanamiliki sio wanakodisha, wanamiliki na wanaiendeleza, sizungumzii wawekezaji nazungumzia watu wa kawaida ambao wengine unakuta wana mishe zingine tu.
Arusha, kuna eneo mfano linaitwa Doli liko chini ya USA River, hili eneo kuna wazungu wamejaa pale, wengi wamenunua ardhi kwa kuuziwa na wazungu wenzao tena kwa bei ya kutisha kabisa, kuna Wazungu pale wanamiliki ardhi na wanaendesha real estate kabisa wanauziana kwa Dolla, eneo la 50x50 unauziwa kwa Dola 150,000 hadi 200,000. Pale hakuna Ngozi nyeusi anaweza nunua ardhi pale kwa ile bei ya kutisha. Sasa jiulize wamewezaje kuendesha biashara za reali estate pale? Sheria najua haziruhusu ila wao wanafanya fanyaje? Ni maswali magumu sana haya.
Sio Doli tu kuna maeneo mengi Arusha wazungu wanamilik na wanacho kifanya wakitaka kuondoka au wakioana hawana pesa wanauzia Wazungu wenzao make kwa bei ile hakuna mbongo anaweza.
Au ananunua anaiendeleza anapanda miti na baadae anauzia wazungu wenzake yeye anasepa au anaenda kununua kwingine na wapo ambao biashara yao kwa Arusha ni ya real estate hawana kazi nyingine. Akiuza kiwanja kimoja ana pesa ya kula miaka hata mitano.