Kulikoni ndoa za siku hizi?

Kulikoni ndoa za siku hizi?

Wanawake wapo wa aina nyingi maana wapo wasiooleka na waolekaji, tena muolekaji hata kama ana mali na elimu kubwa kiasi gani bhasi atabaki kuwa mke mwema mwenye utii kwa mmewe na familia pia, ila wale wasiooleka wana mtazamo hasi juu ya ndoa, hivyo wadada wengi wa aina hii WANAOLEWA MGUU MMOJA NDANI MWINGINE NJE, ndio sababu ikitokea tatizo kidogo/moja tu AMEKWISHA KATA TAMAA kiasi cha kutaka talaka maana mtazamo wake ni Hasi juu ya ndoa. NI VYEMA KUFAHAMU MTAZAMO WA MTU KABLA YA KUOA/KUOLEWA NAYE.
 
NB;wanawake wema wapo na wanaume wema tupo[/QUOTE]
Hapa pamenikosha nakubaliana nawe asilimia zote
 
Hii ndiyo shida ya uchumba wa kukutana barabarani kwa kila mmoja kumtamani mwenzie na kukimbilia kufunga ndoa kabla ya kufahamiana kwa undani zaidi ukihofia ukichelewa kumuoa kwa uzuri alionao utazidiwa kete na wenzio. Pia lazima mkumbuke kuwa katika mitihani yote, ni mtihani wa ndoa pekee ambao unatunukiwa kwanza cheti baadae unaanza kucheza na mitihani mpaka mwisho wa maisha yako. Pia unapotafuta mwenzi usiangalie uzuri, mafanikio na cheo cha mtu.Upendo unatoka moyoni na hayo mafamikio yatapatikana kwa kuheshimiana na kujipanga.
 
na nimejipnaga na mipango lukuki ni namna ya moja kumalizika lingine lifuate
Usisahau kufua boxer za baba chanja na kumtayarishia bafu pamoja na kunyoosha nguo za kazini. Hapo ndo thamani ya mke inaonekana zaidi fanya projects zako kwa manufaa ya familia na sio kumkomoa mzee matunda utayaona
 
Nimesoma mahali fuluani wenye kujua mambo ya kiroho ni kwamba shetani ameleta mapepo mengi na kati ya hayo mengi yakiwa ya zinaa na kuagiza kuharibu ndoa za watu huku ulimwenguni hili kutowesha amani katika familia na kuleta mafarakano kwenye jamii. Tambua kazi za shetani ni kuharibu na kuleta mateso. Wenye kusoma Bibilia someni Yohana 10:10.
 
nyie muongee tu majukwaani lakini mwanamme haswaa hawezi kubaliana na feminism theory, mke ana nafasi yake ya pili na mme ana nafasi ya kwanza, wala haihitaji elimu kubwa kwani ELIMU YA ASILI IPO WAZI, ila tu ubishi na elimu zenu za vidato mnazitumia vibaya sana. Umetangulia kusema mwanamke akisalitiwa na mmewe eti achepuke ili kuitafuta furaha huko nje, hiyo elimu unaitoa wapi wewe kama sio mfumo jike huo yaani unasahau kuwa nyumba ya ndoa inashikwa na mwanamke, mwanaume hata akiwa kiruka njia ila mke akisimama imara familia itaendelea tu lakini sio mwanamke kuwa kicheche hapo hakuna uwezekano mkubwa wa familia kuendelea kusimama.
Mkuu siku nilipogundua kwamba mimi ndo naweza kubomoa au kujenga ndoa imara as mother na mke aiseee sichukulii rahisi vyeo vyangu hivi maana kuna siri kubwa sana. Hili suala lipo spiritual sana mwanamume ukifanya ujinga kwenye ndoa mke aka komaa baraka zinahamia kwa mke ila mke ukifanya ujinga na mume akaomaa ndoa inakufa kifo kibaya nilikaa nikawaza sana hiki kitu nimepata majibu sichukulii poa nafasi yangu najua hatima ipo kwenye mikono yangu
 
Usisahau kufua boxer za baba chanja na kumtayarishia bafu pamoja na kunyoosha nguo za kazini. Hapo ndo thamani ya mke inaonekana zaidi fanya projects zako kwa manufaa ya familia na sio kumkomoa mzee matunda utayaona
Project ni kwa manufaa ya familia tena watoto zaidi
 
Nyege utazimalizaje mkuu?

Sitaku uniambie kuwa nipigige nyeto?

Kuna muda unahitaji kushare nae vitu ukiwa single unajiona kuna kitu umekosa duniani
PSSS
1475500938719.jpg
 
Nyege utazimalizaje mkuu?

Sitaku uniambie kuwa nipigige nyeto?

Kuna muda unahitaji kushare nae vitu ukiwa single unajiona kuna kitu umekosa duniani
Ukishavulugwa huwez kukumbuk kama kunaivyo vitu
 
nyie muongee tu majukwaani lakini mwanamme haswaa hawezi kubaliana na feminism theory, mke ana nafasi yake ya pili na mme ana nafasi ya kwanza, wala haihitaji elimu kubwa kwani ELIMU YA ASILI IPO WAZI, ila tu ubishi na elimu zenu za vidato mnazitumia vibaya sana. Umetangulia kusema mwanamke akisalitiwa na mmewe eti achepuke ili kuitafuta furaha huko nje, hiyo elimu unaitoa wapi wewe kama sio mfumo jike huo yaani unasahau kuwa nyumba ya ndoa inashikwa na mwanamke, mwanaume hata akiwa kiruka njia ila mke akisimama imara familia itaendelea tu lakini sio mwanamke kuwa kicheche hapo hakuna uwezekano mkubwa wa familia kuendelea kusimama.

Kwanza mwenyewe umeprove ulichosema ni uongo. Mwanaume ni wa kwanza kwenye Nini? Ujinga?

Imani, culture, malezi, elimu na utashi wa mtu ndo hum Shape mtu. Unajua mwenyewe ni vipi umekuja kushikilia huo UNANILIU wa mwanaume nafasi ya kwanza.

And I won't take that away from you.

Wala si wanaume wote wana mawazo kama yako, there are billions of men what makes you think wote wako kama wewe??? Si ningekuwa sista!

Jiongelee mwenyewe bro na waafrika wenzio labda.

Sijui unamaanisha Nini unaposema Feminism, watu wana mawazo hasi kupitiliza, kama huyo aliyesema feminism ni kukosea watu heshima, ambayo sijajua anamaanisha Nini.

Na haujajishtukia jinsi ulivyo MTU wa HOVYO? Kwanini hujaandika kupinga wanaume MALAYA?

nimeongelea furaha ya mwanamke umedismiss like nothing!! Kumbe furaha ya mwanamke si kitu?

HUO NDO MFUME DUME.

Ndo unakotaka kuturudisha huko, huko ambako wanawake ni wanyonge??

Huko ndo tunatoka ndomana ndoa kibao CHALI kwasababu ya wanaume WABINAFSI, WASIOJIHESHIMU wala KUJALI FAMILIA zao.

Familia imara ndo inatengenezwa na mwanaume MALAYA na mwanamke asiyefurahia maisha hayo?

Embu nielezee mwanamke anayechepuka anaharibuje familia na mwanaume MALAYA anajengaje?

Kwanza kwenye vitabu vya dini msingi wa talaka ni UZINZI.

na huwa mnashauri waume za wanawake wachepukaji wapige goti kusali na kuvumilia ili familia iwe imara?? AU NDO MUENDELEZO WS MFUMO DUME?

Familia itasimama tu kwani wangapi wanaishi hayo maisha Leo hii huku huku nje tunajua ni wana ndoa?

Mbona wanaume Malaya wa zamani walivumiliwa watu wakaishi tu? .

MBONA NYIE WANAUME HAMTAKI KUPRACTICE SIFA HII YA KIMUNGU YA UVUMILIVU?

Tusidanganyane na UIMARA!! huo uimara unapimwaje? Kama MTU yuko comfortable na umalaya wa mwenzako so be it, lakini sio kuwalazimisha wenzenu/kuwapa guilt conscience waishi hayo maisha kwa kuwadanganya watakuwa na familia imara. kwanza ndo itatuzalishia watoto Malaya kama baba zao.

Overall sikia brother, times have changed. It's all about mutual respect, individual rights, and happiness now. Anything against that is SIN.

Kila MTU atafute tu mwenzi mwenye viwango sawa na mtazamo sawa wa maisha ili mifarakano ipungue.

Mimi kwamfano nisingeweza kuolewa na muafrika, nisingekuwa na furaha KAMWE wala uwezo wa kumfurahisha MTU asiyeelimika kama wewe sina.
 
Usisahau kufua boxer za baba chanja na kumtayarishia bafu pamoja na kunyoosha nguo za kazini. Hapo ndo thamani ya mke inaonekana zaidi fanya projects zako kwa manufaa ya familia na sio kumkomoa mzee matunda utayaona
Wacha we!
 
Mkuu siku nilipogundua kwamba mimi ndo naweza kubomoa au kujenga ndoa imara as mother na mke aiseee sichukulii rahisi vyeo vyangu hivi maana kuna siri kubwa sana. Hili suala lipo spiritual sana mwanamume ukifanya ujinga kwenye ndoa mke aka komaa baraka zinahamia kwa mke ila mke ukifanya ujinga na mume akaomaa ndoa inakufa kifo kibaya nilikaa nikawaza sana hiki kitu nimepata majibu sichukulii poa nafasi yangu najua hatima ipo kwenye mikono yangu
Ni kweli mwanamke ana nguvu kubwa sana, hii nimeishuhudia mara nyingi tu. Mwanamke akiwa legelege basi hiyo familia lazima iwe tafrani.
 
Ndoa za sasa zipo kwa mihemko tu ya kupendeza siku ya harusi, pete yangu ya tanzanite na whitegold, nitakavyobadilisha nguo siku ya harusi kanisani shela ukumbini gauni nimeagiza dubai, bwana harusi anavyojua kuvaa na kupangilia rangi na wale marafiki zake watakavyoingia kwa mbwembwe, mtu hawazi baada ya kuachwa hotelini unakuwa mama au baba kila kitu kinawahusu tena mkijadiliana kwa pamoja siyo baba anawaza kununua kiwanja mke anawaza kuchukua mkopo wa kununua vitz ili awaambie mashostito baada ya ndoa tu akanipa gari, kumbe gari kakopa na mgogoro kwenye ndoa ukaanzia hapo kila mara mnapishana kauli kwa kuwa mwanaume ulitaka kuoa msomi siyo mke anaamua anavyotaka, uliacha kumuoa mke mwenye heshima kisa wewe unamzidi elimu hamtaendana, haya sasa umempata huyo kama wewe yeye anajua usawa tu hamsini kwa hamsini, mwanamke ni mwanamke tu itabaki kuwa hivyo mavyeo yako ukifika home yaache mlangoni tena getini kabisa ukiingia ndani wewe ni mke mtii mumeo, wengine eti wanasema usizoee kumuaga mumeo mpe taarifa tu ndoa inakufa hiyo kwenye ndoa kuna mke zaidi ya mmoja ila siyo mume zaidi ya mmoja, na wazazi nao wanachangia siku ya send off mwanangu chumba chako hakijapangishwa ukiona anakutesa rudi tu maneno gani hayo kweli akiona mwanaume kachepuka kesho kwao, wanaume mfanye kazi mlete chakula nyumbani usitegemee sana hela ya mwanamke hawajaumbwa kutoa, ndo mana bibi na mama zetu walidumu hawakupewa majukumu makubwa ndani.
Maneno kuntu
 
Mungu kwanza....
Kabla hamjafunga ndoa lazima mumshirikishe Mungu...mkioana pia Mungu ndio awe ngao na kiongozi wenu...yani Mungu ndio kila kitu.vijana wengi siku hizi Mungu kando starehe kwanza...kanisani hawaendi kipindi cha uchumba mpk ndoani .hawasali..unategemea shetani akiingia hapo watatoka salama...mimi nina mifano hai..ndoa nyingi zinazotetelreka Mungu wamemuweka kando...sio kwamba ukimuweka Mungu mbele hakuna vikwazo noo vikwazo vipo lkn Mungu anawapa njia ..mnasolve love inaendelea...kuna ndoa nilisimamia mimi na mume wangu bwana harusi anasema hajaingia kanisani muda mrefu ht miaka 10 inafika kiasi kwamba kuna vitu alishasahau kanisani vinatamkwaje na ht baadhi ya madiliko km kuitikia hajui..yn ndoa ndio imempeleka kanisani kwa mara ingine..huko aliko ndoa yke ikoje kiimani sijui....
Nna rafiki yngu ndoa imedumu only 2 years wakaachana....wao ibada kwao ilikua mwiko hawaendi kanisani wala nini .ikifika jpili ni kulala...hawana hbr na ibada si jumuia c nini...hata sasa hivi ana majaribu makubwa yanayosababishwa na kuvunjika kwa ndoa lkn wapi..anaishia tu kuandika ooh Lord help me...how then?
Ushauri wangu mtoa mada MSHIRIKISHE MUNGU KWA KILA JAMBO UWE MTU WA IBADA HATA JARIBU LIKIJA KUBWA UTALISHINDA TU..ndoa ni mpango wa Mungu si shetani. Usihofu kuoa sababu za wengine zimebuma....
Ukiwa na hofu ya Mungu utamheshimu mke hutocheat...nayeye pia akiwa na hofu na Mungu atakuheshimu hatochepuka na ataelewa nafasi yake ni ipi na mume ni ipi
Ahsante nimeuchukua ushauri wako
 
Inategemea na jinsi unavyojiweka maana ukijiheshimu mungu atakujaalia kupata mme mwema kama mimi,binafsi tangu nimebarehe nilikua na uhusiano na wasichana watatu lakini katika mazingira ya mapenzi ya kitoto na wala sijachomeka uume wangu katika papuchi zao.Mwanamke wa nne kua na uhusiano nae ni mke wangu ambaye huu ni mwaka wa saba tangu tufahamiane lakini katika maisha yetu ya ndoa sasa ni mwaka wa pili
Tangu nibarehe mkuyati wangu umeingia kwenye papuchi moja tu ambayo ni ya mke wangu chakufurahisha zaidi na mimi ndio niliyemtoa nanii yake so tunapendana sana na tabia zake hazihatarishi ndoa yetu.Mke wangu akisafiri halafi ikatokea nikapata nyege huwa napiga tu PUNYETO ili kuepesha shari maana nyumba ndogo ni laana,umasiki na mkosi.
NB;wanawake wema wapo na wanaume wema tupo
Na sisi ambao mikuyati yetu imeshaingia kwingi tufanyeje mkuu? Halafu wewe utakuwa ni mwenyekiti wa CHAWAPUTA.
 
Ndoa ni ngumu mana watu tumeingia katika ndoa tukiwa na lengo la kurizisha kuonyesha urijali ila si upendo toka moyoni
Mana maana halisi ya ndoa ni uvumilivu
Kwa sasa unakuta mtu amekuwa katika mahusiano na watu wengi sana na anashindwa kuicha ambacho hicho ni tatizo ni wapongeze wanawake kwa hili wamejitahidi mwanamke akiaacha kaacha sio kama sie vijana wa kiume.
Ila pia umri na majukumu sana sana
Mtu unaamua kuyakimbiaaa hutaki kuzungumza sasa unadhani nani anakusikiliza
Nanyi mabinti mmekuwa rahisi sana ndo mana hata wanaume wanawadharau
 
Back
Top Bottom