Kulikoni mwananchi ya leo tarehe 27/10/2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kulikoni mwananchi ya leo tarehe 27/10/2010

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by engmtolera, Oct 27, 2010.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Ndugu wana jamii forum,ningependa kujua kulikoni gazeti letu maarufu la MWANANCHI halipatikani mtandaoni? Ama ndio wameshafungiwa? kwani tangu asubuhi najaribu kufunguwa website yao inagoma,napata gazeti la habari leo gwiji la habari za udaku ambao hawakuona mkutano wa Dr Slaa

  Pia napenda kuuliza hivi habari leo hawaruhusiwi kuandika HABARI ZA DR SLAA KTK KAMPENI? kwani sijaona habari yeyote ya mkutano wa jana wa Dr slaa zaidi ya KIKWETE KUUNGURUMA LEO DAR, na Siri ya wabunge viti maalumu Chadema yavuja TUNAOMBA WAWE WAZI KAMA NI GAZETI LA CHAMA AMA LA UMMA?
  AN INJURY TO ONE IS AN INJURY TO ALL​
   
 2. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  magazeti ya chama na ya umma wanalipwa mishahara kwa kodi za wananchi hivyo hawana hasara hata kama gazeti litaishia kuchapa nakala za kugawana ofisini kwao tu
   
 3. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,014
  Likes Received: 416,972
  Trophy Points: 280
  Mwananchi mara nyingi hupatikana mtandaoni baada ya saa tano sijui ni kwa nini......lakini wanajitahidi kwa sababu kuna magazeti mengine ukitembelea mitandao yao huwa hawana habari za magazeti yao sijui kwa nini................Lakini Habari leo wana kichwa cha habari kisemacho "Kampeni za Dr. Slaa zamtusi JK" hawana jambo lolote lile chanya kutoka kwenye mikutano ya kampeni ya Dr. Slaa...........Jk kweli ametufikisha njia panda haswaaaaaaaaaaa..........................
   
 4. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,939
  Likes Received: 2,088
  Trophy Points: 280
  Hilo ni gazeti la JK mwenyewe, si unakumbuka ndio aliyelianzisha kwa madai kuwa kwa nini gazeti la serikali lisewe na version ya kiswahili. wafanyakazi wote wa HabariLeo ni lapdogs wa JK!!! Kumbuka katuni ya Kenya kuhusu JK na waandishi wa habari wa Bongo.
  [​IMG]
   
 5. Catagena

  Catagena Member

  #5
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 23, 2010
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bwana engmtolela, Kwa jinsi mambo yanavyoendeshwa katika nchi hii yenye viongozi wasiopenda kabisa kushughulisha vichwa vyao, hakuna tofauti kati ya mambo ya chama na ya umma. Tumekuwa tukinyonywa sana na wanaonufaika ni ndugu, jamaa na marafiki wa viongozi wa Chama cha Mapinduzi. gazeti la Habari leo ni la serikali, lakini linavyoendesha mabo yako halina tofauti na gazeti la uhuru, ambalo linajulikana na la Chama cha Mpinduzi.

  Ndiyo maana ni muhimu tukapige kura tukiwa na tukiwa na lengo moja tu, la kuundoa uongozi wa kidhalimu na kifalme wa serikali ya Chama cha Mapinduzi.
   
 6. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Nafikiri majibu ya maswali yote uliyouliza unayo wewe mwenyewe,kwa kuwa unajua nchi hii ni fitina tu!!!
   
 7. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Kuanzia leo sinunui tena HABARI LEO...
   
 8. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hawakwenda mwembe yanga
   
 9. d

  dotto JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  GAzeti habari leo lakini linaripoti habari za jana na juzi. Utata mtupu!! Founder wa hilo gazeti mtata mtupu!
   
 10. D

  Domo Zege JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2010
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Nimesoma gazeti la Habari Leo juu ya viti maalumu vya chadema jamani wanachadema hebu tupeni ukweli hapa ili tutoe comment zetu sababu siliamini hili gazet dada la uhuru aka ccm.
   
 11. D

  Domo Zege JF-Expert Member

  #11
  Oct 27, 2010
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  ORODHA ya majina ya wateule wanaosubiri kuapishwa kuwa wabunge wa viti maalumu kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ambayo uteuzi wake ulikwama katika njia ya demokrasia za ndani ya chama hicho, imevuja ndani ya chama hicho.

  Majina 105 ya wateule hao waliopatikana kwa njia ya ushauri wa mtaalamu kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam baada ya njia ya kura kushindikana, yamo ya wake, watoto na ndugu wa vigogo na viongozi wa chama hicho.

  Njia ya kura ilishindikana kutokana na kuibuka kwa makundi ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Naibu Katibu Mkuu, Zitto Kabwe, wakati wa uchaguzi wa wabunge hao kupitia wajumbe wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha).

  Katika uchaguzi huo, ilibainika kuwa baadhi ya wajumbe wa Baraza hilo walikuwa mamluki na baadhi ya wagombea kutoa kauli za kuulaumu uongozi kwa kutaka kuwapa ulaji wagombea wa viti maalumu wanaowataka.

  Lawama hizo zimejidhihirisha kwani katika orodha hiyo, mbali na watoto na ndugu wa vigogo wa chama hicho, pia wabunge wote wa viti maalumu wa Chadema waliomaliza muda wao, wakiwamo wanaogombea katika majimbo ya uchaguzi, wamerudishwa katika orodha hiyo na kupewa nafasi za juu.

  Wabunge waliomaliza muda wao walioko katika orodha hiyo ni Lucy Owenya ambaye ni mtoto wa mgombea ubunge wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo; na ni wa kwanza, jambo linalomhakikishia ubunge ikiwa uteuzi utafanyika kwa kufuata wa kwanza mpaka wa mwisho.

  Wengine ni Mhonga Ruhwanya (namba 3), Halima Mdee (5), Grace Kiwelu (9) ambaye ni mkwewe Ndesamburo, Anna Komu (13) na Susan Lyimo (10).

  Pia yumo Rose Kamil Sukum (19) ambaye ni mke wa mgombea urais wa chama hicho, Dk Willibrod Slaa. Aidha, kwa mfumo huo wa Chadema, wagombea ubunge ambao wamo miongoni mwa majina hayo, watajihakikishia ‘ulaji' bungeni endapo watashindwa katika majimbo hayo.

  Wagombea hao wa majimbo walioko katika orodha hiyo ni Mdee wa Kawe, Leticia Nyerere (16), Kwimba; Regia Mtema (11), Kilombero na Sukum, Hanang. Wengine ni Christina Lissu Mughiwa (20) na Paulina Slaa Narcis (84).

  Orodha hiyo pia imewataja Easther Matiko(2), Anna Mallac (4), Paulina Gekul (6), Conjesta Rwamlaza (7), Susan Kiwanga (8), Christowaja Mtinda (12), Mwanamrisho Abama (14), Joyce Mukya (15), Naomi Kaihula (17), Chiku Abwao (18), Raya Hamisi (21), Philipa Mturano (22) na Mariam Msabaha (23).

  Wengine ni Rachel Mashishanga (24), Sabrina Sungura (25), Rebecca Mngodo (26), Cecilia Pareso (27), Subira Waziri (28), Leticia Musore (29), Helen Kayanza (30), Rosana Chapita (31), Mona Bitakwate (32), Evarim Mpangama (33), Asha Kayumba (34), Hija Wazee (35), Mary Martin (36), Sophia Mwakagenda (37), Bupe Kyambika (38), Magreth Mangowi (39), Esther Daffi (40), Jane Pesha (41), Aikande Kwayu (42) na Helga Mchomvu (43).

  Pia orodha hiyo iliwataja walioteuliwa kuwa ni Rebecca Magwisha (44), Neema Msuya (45), Anastazia Manyanda (46), Selina Nguma (47), Bertha Matanwa (48), Christina Ngola (49), Lydia Mwaipaja (50), Zaituni Lubinza (51), Adelastela Kilindi (52), Hawa Mwaifunga (53), Loyce Iboma (54) na Rita Kanoro (55).

  Aidha wamo Monica Saile (56), Saida Othman (57), Edith Malale (58), Zainab Bakari (59), Rehema Makoba (60), Hadija Lyellu (61), Mary Komba (62), Rosale Lyimo (63), Omega Makundi (64), Marieth Chenyege (65), Veronica Ngale (66), Monica Mutasigwa (67), Judith Elyawoni (68), Rose Makara (69), Cecilian Ndossi (70) na Catherine Sakaya (71).

  Wengine ni Ruth Bujiku (72), Deshmaki Mnenei (73), Juliet Lushuli (74), Ulycess Muro (75), Matilda Kokutoma (76), Tibandelage Kalinga (77), Mtende Hassan (78), Anna Turuka (79), Gibe Masanja (80), Victoria Kihumbi (81), Sabaha Mohamed (82), Pendo Ngonyani (83), Theresia Sanga (85), Somoye Namachachi (86), Mariam Mtamike (87) na Selina Nyambalya (88).

  Wengine waliotajwa ni Zabib Vuma (89), Rose Moshi (90), Stella Masanja (91), Julie Mutashaga (92), Upendo Peneza (93), Rebecca Njiku (94), Asha Kasoni (95), Asha Akida (96), Anna Linjewile (97), Magdalena Utouh (98), Rehema Makupa (99), Mary Nyakabona (100), Happy Mgoko (101), Halima Katundu (102), Tatu Mselem(103), Salima Salum (104) na Time Suleiman (105).

  Kwa mujibu wa chanzo chetu ndani ya chama hicho, orodha hiyo iliwasilishwa Septemba 30 katika Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Kaimu Katibu Mkuu, John Mnyika.

  Source Habari Leo.

 12. M

  Magehema JF-Expert Member

  #12
  Oct 27, 2010
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 448
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Linapatikana online mida hii
   
 13. j

  janusqm1 Member

  #13
  Oct 27, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  There will be always negative attitude towards chadema in habari leo and daily news coz kikwete owns them, so don't ask anymore, you have all you need to know. Mwananchi is the only true and hero in tz hottest news. Big up mwananchi, big up the citizen, keep it up!
   
 14. j

  janusqm1 Member

  #14
  Oct 27, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HAMNA JIPYA HABARI LEO, MBONA MSIANDIKE GHARAMA ZA MATUNDU YA VYOO AHADI ZISIZOISHA ZA dr KIKWETE, BADALA YAKE MNAANDIKA HABARI ZILIZOKUFA! MHARIRI HEBU TUMIA TAALUMA YAKO KUAPROVE HABARI MPYA NA MOTOMOTO.
   
Loading...