Kulikoni mtandao wa TikTok kutawaliwa na maudhui ya Ushoga!

Pakome

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2024
Posts
1,541
Reaction score
916
Mtandao wa TikTok umetawaliwa na maudhui ya Ushoga
Umekuwa ni mtandao uliojaa maudhui ya vijana wa kiume wanaojihusisha na ushoga wakijipamba, kunengua viuno na kuonesha miondoko ya kike
Je umegeuzwa kuwa dating website ya mashoga?

Kinachonipeleka TikTok ni kupata elimu ya Magari

Baada ya kumaliza kutazama Magari na ulaji wake wa mafuta sisogei sana hawajatokea hawa watu

Sasa nashindwa kuelewa vipi
Kwasababu hata mtaani hapa watu wengi wanalalamika mtandao umejaa mashoga

Ni idadi kubwa ya watu inalalamikia hili tatizo

Wengine wanadai mashoga wanafuata Filters kule sawa SnapChat mambo ya kidada hayo

Sasa hawa vijana waiga tabia za dada zao inafikia mahali mtandao mzima unajaa ujinga
 
Mimi sijaona hayo hata moja.
Kwa hivyo wewe utakuwa unapendelea kufungua maudhui yanayo fanana na hayo.
System imekusoma upendacho.
Hapana hata wanawake hapa mtaani wanalalamika sana kuhusiana na mambo hayo
Mimi kule nafuata elimu ya magari lakini siku hizi naona hali imebadilika kabisa yamejaa hayo
 
Kaka ni algorithm hiyo..
Unachokitafuta mara kwa mara au accounts unazozifuatilia zaidi. Mitandao ya kijamii huchukua historia yako na kuanza kutoa suggestions za account au maudhui yanayoendana na interest zako
 
Kinachonishangaza mimi nafuata elimu ya magari lakini baada ya kumaliza video nikisogea tu wanakuja wadudu hao hata akina mama mtaani hapa wanalalamikia sana hili tatizo
 
Mimi guo mtandao niliposikia origin yake ni china bas sijawah kuutumia hata siku moja hakuna simu yangu yenye tiktok hata sikumoja si hilo tu ila kuna visa vya watoto maarufu kufa vifo vya ajabu sana mchina sio mwanadamu kabisa nafikiri ni makao makuu ya ushetani yako china.
 
Mtandao wa TikTok umetawaliwa na maudhui ya Ushoga
Umekuwa ni mtandao uliojaa maudhui ya vijana wa kiume wanaojihusisha na ushoga wakijipamba, kunengua viuno na kuonesha miondoko ya kike
Je umegeuzwa kuwa dating website ya mashoga?
Algorithm inakuletea unavoangalia so kama na wewe ikikuletea unkaaa kuangalia badi haitaacha kamwe kukupa maudhui hayo

Solution skip faster kabla ya sekunde tatu na tafuta vitu kwenye search bar unavyovipenda angalia hivo
 
Kinachonishangaza mimi nafuata elimu ya magari lakini baada ya kumaliza video nikisogea tu wanakuja wadudu hao hata akina mama mtaani hapa wanalalamikia sana hili tatizo
Kama unakaaa kuziqngalia hizo video app itaendelea kukupa so wewe search vitu vyako kisha endelea kuenjoy

Algorithm inahitaji kufundishwa
 
Mimi guo mtandao niliposikia origin yake ni china bas sijawah kuutumia hata siku moja hakuna simu yangu yenye tiktok hata sikumoja si hilo tu ila kuna visa vya watoto maarufu kufa vifo vya ajabu sana mchina sio mwanadamu kabisa nafikiri ni makao makuu ya ushetani yako china.
Ni wanadamu thats y wanakufa
USA
 
Kaka ni algorithm hiyo..
Unachokitafuta mara kwa mara au accounts unazozifuatilia zaidi. Mitandao ya kijamii huchukua historia yako na kuanza kutoa suggestions za account au maudhui yanayoendana na interest zako
True na mimi nimemueleza hivo hivo
 
Back
Top Bottom