Kulikoni Mange Kimambi?

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,408
Wana Jf huyu muke ya Muzungu vipi?? Sasa hivi zaidi ya miezi 2 Blog yake haiko hewani !!

Come on Wadadavuaji.......
 
Ngoja wanaoitembeleaga waje. Sijawahi kuipitia. Umem-miss? Kwani hayupo fesibuku?
 
mbona hata jana ilikuwa hewani, ni leo tu nimeikuta not reachable, yupo miamiiii anaenjoy maisha! lol
 
Bwabwa we ueleweki mbivu umo, mbichi upo !! Mange tena?
ngoshwe unazeeka vibaya.....unaleta chokochoko....kamchokoe pweza mm hutoniweza...
ngoshwe katafute dawa za kimasai uimarishe jogoo.................................................................... .................................... ......n
 
ngoshwe unazeeka vibaya.....unaleta chokochoko....kamchokoe pweza mm hutoniweza...
ngoshwe katafute dawa za kimasai uimarishe jogoo.................................................................... .................................... ......ngoshwe sasa hv umefulia vibaya sana unatia aibu, hebu nipe namba yako ya simu nikurushie tigo/mpesa
uweza ku browse kama zama zako

ha ha ha ha ha ha. Boflo vipi tena? Mbona vijembe kama kina Kopa?
 
hivi hako ka shostito si kalibutuzwa mahakani kwa ishu hiyo ya blogspot,sijui kaliviolate ishu gani vile....
 
ngoshwe unazeeka vibaya.....unaleta chokochoko....kamchokoe pweza mm hutoniweza...
ngoshwe katafute dawa za kimasai uimarishe jogoo.................................................................... .................................... ......ngoshwe sasa hv umefulia vibaya sana unatia aibu, hebu nipe namba yako ya simu nikurushie tigo/mpesa
uweza ku browse kama zama zako

we ni ke au me?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom