RingaRinga
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 1,041
- 510
Mwenye habari kamili kuhusiana na kadhia hii atujulishe hapa nimeisikia kwa ufupi sana ktk taarifa ya habari East Africa Redio
uzomeaji ulisababishwa na shutuma za rushwa kuongezeka kwenye serikali yake na waliokua wakimzomea ni wabunge toka upinzani
Sio kuzomea, waliingia na filimbi