Kulikoni ITV?

Kulikoni ITV?

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,866
Reaction score
4,252
Taarifa ya habari za kimataifa imesomwa kiajabu sana. Habari ya urusi imewekwa libya na kinyume chake. Halafu msomaji hajatuomba radhi. Mzee Mengi umeona? Ama staff wako hawajali ama taarifa za habari hurekodiwa?
 
nani anajua km zinarekodiwa? af zikirekodiwa editing na marekebisho is a must! vilaza tuu wanatuona watazamaji mapompompo!
 
Nimeshangaa chiku lweno wala hakujisumbua wala kushtuka na hali hiyo. Pamoja na kuwa kosa si lake angeomba radhi
 
wanamwogopa sana yule mzee wa kimachame

kumuogopaje? Kwahiyo kuvurunda mambo na kupotezea ndo kutokumuogopa au? Kukosea kupo na kumradhi c matusi,hizo ni nidham za uoga na kijinga!
 
Taarifa ya habari za kimataifa imesomwa kiajabu sana. Habari ya urusi imewekwa libya na kinyume chake. Halafu msomaji hajatuomba radhi. Mzee Mengi umeona? Ama staff wako hawajali ama taarifa za habari hurekodiwa?

yaleyale ya operation za muhimbili, kichwa badala ya mguu na mguu badala ya kichwa
 
ITV taarifa zao zote za habari hurekodiwa kwanza.........huwa hawarushi live
 
Haya ni matokeo ya nidhamu ya woga kazini, hakuna anayejituma wala kutumia akili yake kikamilifu-robot like.
 
Kuna mambo huko acheni tuu!! Kuna mtu aliwahi kutapikia karatasi za taarifa ya habari akiwa amelewa chakali lakini sasa ni mkurugenzi!!!
 
INANIKUMBUSHA YA john ngahyoma

nasikia ni mdau wa magugu kwa sana. Halafu shukrani kwa hamis dambaya wa mlimani tv na segment yake ya vijambo. Nyuma ya pazia la kamera kuna upupu mwingi sana
 
mie matangazo kwenye dishi hamna, wiki sasa nilidhani peke yangu marafiki zangu wananiambia hivyo2
 
Back
Top Bottom