Kulikoni ITV?

Kulikoni ITV?

Hayo ndo madhara ya kurekodi habari kwa baadhi ya Vituo vya TV, Mchanganya picha akikosea kituo kizima kinaonekana hamnazo
 
Hivi pamoja na kuwa kwenye tasnia ya habari kwa muda wote huo bado kurusha taarifa ya habari live ni tatizo? Mbona kipima joto ni live. Wanashindwa hata na tbc!
 
Back
Top Bottom